Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
JasusiNdivyo mnavyofundishwa katika utendaji wenu? Haya ni maneno mazito sana kuhusu maafisa wa usalama wetu.
mmechokonowa wee angalau mpate lilooenda tofaut katika mapokezi obama atimaye mmekutana na hili,kuhitilafiana ni jambo la kawaida katika utendaji,maana naona mmeanza na kejeli,ohh wamefundishwa kutumia vitu vyenye ncha kali,haya yanausiana vipi na masuala ya wanausalama kuitilafiana??michadema utaijua tu,nilitegemea utahoji labda mbona viongozi wa upinzani hawakualikwa kuteta na obama,unakuja kuhoji upuuzi apa.Hiyo mipoliCCM,ishazoea kufanya madudu ya aina hiyo,si mnakumbuka namna Kamanda Kamuhanda,alivyoamrisha mauajiya mwandishi Mwangosi,ambapo hadi sasa huyo Kamuhanda hakupandishwa kizimbani kujibu tuhuma za mauaji,na badala yake,bosi wake JK,amempandisha cheo,kwa utumishi uliotukuka wa kumwua Mwangosi!
Kwa hiyo hata wale wanaofikiri ile kauli ya Pinda,ya kusema PIGA TU TENA WAPIGWE SANA KWA KUWA TUMECHOKA.
Hiyo siyo kauli ya Pinda as an individual,bali huo ndio msimamo wa serikali nzima ya CCM.
Kumbuka JK,alipotoa siri kwenye mkutano mkuu wa CCM,uliopita,alipowaasa wanaCCM wenzake,wapunguze kuwatumia poliCCM,kuwabeba kwenye shughuli zao za kisiasa!!
Walimu ni wengi sana. Pinda naye ni mwalimu waoNdivyo mnavyofundishwa katika utendaji wenu? Haya ni maneno mazito sana kuhusu maafisa wa usalama wetu.
Jasusi
Mbona haya ya kutumia nguvu huku USA yapo mengi sana unataka tukuwekee data za kiasi police department zinalipa watu kwa makosa ya kutumia nguvu na unyasaji? Mkuu angalia sana kuandika vitu kwa kudakia hao waandishi lugha mgogoro hapo palikosekana mkalimani!
Kumbe marekani wakimkosea raia "WANAMLIPA"!?? huku bongo thubutu yako...
Huyo askari wetu alijibu nini baada ya kuulizwa kwa kimombo ikiwa hayo ndiyo wanayofundishwa katika utendaji wao?
Isije ikawa lugha ilikorofishwa akajibu yes Sir.
Lol!, lakini nyie!...am dyin!...lol!Hata mimi natamani angemdunda huyo mwanausalama wa Marekani halafu akasema anatekeleza maelekezo ya pinda, maana amechoka kutumia akili, ni nguvu tu.
Hivi huwa wanafundishwa wapi?
Kama nawaona vl...and them are supposed to be trusted with "PUBLIC SAFETY"??!!!"...NO NO Sir! We are not TEACHED that way. You know, you know we are AMRIzed to KICK if they NOT HEAR, we KICK ONLY, because us TIRED NOW..."