Mwandishi Ansbert Ngurumo apewa hifadhi kwa usalama wake nchini Finland

Hata Kambona alikimbia nchi lakini baadae akarudi akiwa amechoka ile mbaya!! Wanafikiri ni pa zuri sana kwa wazungu!
Mbona kambona alirud akiwa vizur tuu ww ulimwona akiwa amechoka kivip? Afu mbona ngugi wa thi'ongo wa Kenya alikimbia tangu 1978 baada ya Rais Moi kuingia madarakan mpak alivyotoka 2002 ila alirud akiwa safi tuu? Kwa iyo ww unataka wakae ili watekwe kama Azori na kupotea? Kwa nn unaonekana kuchukia yy kukimbia na kuiponya nafsi yake kwan ww inakuusu nn yy kuiponya nafs yake dhidi ya "wauaji " wake?
 
Kuwa mkimbizi mnaipigia filimbi kama vile ni wa kwanza duniani.. eeeeeh

Uamuzi wake huo.. alitaka tu kwenda ulaya kuishi huko baada ya kuwa mvivu kufanya kazi kujilisha
Iko siku yako hata kama si mapema
 
Kuwa mkimbizi mnaipigia filimbi kama vile ni wa kwanza duniani.. eeeeeh

Uamuzi wake huo.. alitaka tu kwenda ulaya kuishi huko baada ya kuwa mvivu kufanya kazi kujilisha
Kua na utu basi kwa iyo unafuraia Yalio mkuta Azori? Hat ww unajua nafsin mwako kwake sio salama ila unataka kupotosha watu
 
Ni kwel hom is the best ila kama kuna siafu na na nyoka kaingia ndan ya nyumba inabdi uende kwa jiran uombe hifadhi ukitafuta namna ya kusolve tatzo la kumuondoa nyoka na siafu na kama sio kuwaondoa usubr wakiondoka wenyewe.,..ulaya na marekan hakuwez kua pazur kulko tz ulkozaliwa ila sio kwamba wanapenda jaman na nyie kuwen na utu kwel kutoka ndan ya mioyo yenu inawambia tz kwa hao kina lissu ,Huyo mwandish ngurumo ni pema?
 
So bora kuliko kufungwa kwenye visandarusi na kutupwa bahar ya Hindi,,au kung'olewa meno na kucha? Kwangu mm kusema ukwel tz ni sehem safi ila kuna wengne kusema kwel in hatar kwao tena sana ya tundu lissu tena mchan kweupe risas zinalia na ni mita kama ishirni kutoka geti la naibu spika na spika analindwa na field force 24 hours? Maaskar wenywe waliogopa
 
Safi sana. Mtu akiona uzalendo unamshinda akimbie tu. Mpaka wabaki "Wazalendo tu". Na wazalendo wa nchi hii ni CCM peke yao, yaani watu wasiozidi milioni 4 katika ya jumla ya watanzania milioni 50 na ushee.
 
aaaaah Gavana Mkuuu!! labda ulitaka kumquote [HASHTAG]#Patriot[/HASHTAG] maana hajaelewa kwa nn mwandishi Ngurumo kajificha FINLAND na sio nearby shit hole country!!!!
Hivi unadhani mtu anayekimbia kujiokoa maisha yake, atapanga kukimbilia ulaya toka Tanzania. Waliokimbia wengi hukurupuka na kuingia jirani salama wakati wanatafakari waende wapi. Sasa yeye eti anapanda ndege kuelekea Finland. Subili atakapopelekewa mkewe na watoto ndo utaelewa sababu yake. Bahati mbaya elimu yake ndo hivyo tena!
 
Mi nilijua tu, tena siku hizi ni ngumu kwelikweli. Kuna jamaa toka Congo nilikuwa nao Ujeruman it took them 3 years na majibu yalikuwa negative, na walikuwa deported. Ngoja tumsubiri arudishwe
 
Sasa ndo umejibu hoja yake ya kutishiwa kuuawa? Mana hapa umetoa tu povu au ulitaka abaki hapa ili wanaojiita wasiojulikana wamuue ndo ufurahi au ungekua na busara ungempogeza kwa kuokoa maisha yake
# Hata Dada alikua na wafuasi#
 
Kwa nini hakwenda Ubalozi wa Ufini hapa kuomba hifadhi? Kwa kawaida wangempa kama ni kweli maisha yake yalikuwa hatarini!
Aombe hifadhi hapa hapa Tanzania ili wammalize au? Wewe linalokusumbua kwenda kuomba kwake hifadhi uko Finland ni kipi? Kama unasema hakutishiwa una ushahidi gani wa kuthibitisha kua ni muongo? Mana kutokwenda kulipoti sio ushahidi wa kusema hajatishiwa
 
Acha ushamba Barbarosa, kupewa hadhi ya ukimbizi ni rahisi sana. Tena Ulaya wasiopenda upuuzi wa nchi za Africa wanakupa leo leo
 
Mkuu wewe umepimaje na unaelewaje dhana ya ukimbizi,ukinijibu tutapata mwelekeo mzur wa kile ulichokikusudia kwenye uzi huu.
 
Fanya kazi acha siasa. Amekubaliwa, hakukubaliwa wewe inakuhusu nini? Hiki ni kipindi cha kazi tu
 
Ni sahihi kuwa jamaa kwa sasa anahesabiwa kama Asylum Seeker wakati wanaprocess ombi lake ili apewe hadhi ya kuwa a Refugee but hii sio hoja hata kidogo hoja kubwa hapa ni taswira ya Taifa letu pendwa kwenye jumuiya ya kimataifa inayozidi chafuliwa aidha kwa bahati mbaya bila kujua au kwa makusudi na watu wasioitakia nchi yetu mema both local and international actors. Comprende amigo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…