Ipo siku nyingi Kambona alikimbia baada ya kuanzishwa Azimio la Arusha pia wapemba walikimbia kwenda UK baada ya kuanzisha chokochoko Zanzibar. Hivyo si mara ya kwanza ila kama umezaliwa miaka ya 2000 then huwezi jua!! Watanyooka tu!! Hapa kazi tu!!Tabia mbaya sana hii. Kupeleka watu kuwa wakimbizi? Halafu imeanza awamu hii si ndio? Awamu iliyopita walikuwa na tabia ya kwenda ikulu tu na kunywa Chai.
Kuna kitu kimoja kwenye uongozi. Hata uwe kiongozi mzuri namna gani lakini ukishaamua kutumia vitisho, jela na mauaji kama njia ya kurekebisha wanaokupinga kazi yako yote inafunikwa na mabaya. Roho ya mtu ni zawadi kutoka kwa Mungu na hakuna mwenye mamlaka ya kuamuru itolewa kwa sababu za kujinga jinga! Halafu basi ilivyo laana ukiua mtu mmoja tu kwa sababu umeona hakubaliani na unayosema au kufanya unakuwa umeshatengeneza habit mbaya sana. Hutaishia kwa mmoja!Kwa.miaka 30 watu waliishi maisha ya kuigiza, 1+1 walisema Ni 3 sasa president anasema lazima iwe mbili(2), hapo sasa. Wengi watalia sana kipindi hiki. Wataongea sana na visingizio kibao lakini ukweli uko palepale.
Ila ninavyomjua Ngurumo siyo mtu wa kusema mambo ya hovyo hovyo au uongo!Na uongo aliowadanganya huko.. wanaweza kuondoa alichopewa kwa sekunde..
Hata marekani ni sehemu nzuri kuishi lakini Snowden kaomba hifadhi Urusi.Definition ya ukimbizi inaeleweka vizuri au...tunaandika tu ukimbizi.
Still Tanzania is the best place to live ever seen
Ni bora kuliko kufanyiwa ya Adrian Mawazo, Ben Saanane, Roma Mkatoliki na akatupwe Ununio.Wakati wa awamu ya tatu ya Mkapa wapemba walikimbilia UK wengi tu lakini hakuna walichosaidia kuiharibu nchi yetu! TZ iliendelea kug'aa tu. Wengine wapo mpaka leo wanabeba mabox na kuogesha vizee vya kizungu. Na huyo mwandishi baadae ataanza kubeba mabox na kuogesha vizee vya kizungu! Hapa kazi tu!!
Tatizo kamanda huyo atakubali? Lissu ni MTU wa aina yake kabisa, sio muoga na hana kisasi.Nashauri Lisu asuridi Tanzania, hawa wauaji watammaliza. Atutetee akiwa huko , it will also give big impact!
La Muhimu ccm tuwaweke kwenye kumbukumbu, let us keep records clear with evidence!Tatizo kamanda huyo atakubali? Lissu ni MTU wa aina yake kabisa, sio muoga na hana kisasi.
Nchi kwa hapa ilipofikia inahitaji mtu asiye na visasi sample ya Mandela ambaye sii mwingine bali Lissu na ndio hawa watesi na wauaji wanaweza kupona maana Lissu atatabasamu tuu na kusema wafungeni vifungo vifupi au kuwaacha tuu.
Lakini hakika nawaambia hawa ccm kuwa nchi ikishikwa na mwingine watajuta kuzaliwa.
Siku akipewa ukimbizi itakuwa ni mwendo wa 24 tu, na sio Koff ila itakuwa Karhu.... ( hapo juu ni Tampere)
Baada ya matokeo ya nguvu ya wananchi 26/4 atarudi tuu!Na umri huo kukimbiq nchi Ni mateso sana, Tanzania is the best place to live asikwambiye MTU. Nenda kokote duniani lakini home is the best. Huyo atatamani kurudi baada ya mwaka Mmoja.ulaya, marekani Ni kukaa kwa muda tu lakini siyo kuweka makazi ya kudumu.
Wewe unadhani mipango ya kuongeza muda wake ni ya kipuuzi? Anajua akitoka mapema mambo yatakuwa mabaya na sasa atafanya lolote ili aendelee kubaki na madaraka na kinga.Hii ndio hali halisi, mambo mengi na mazito yataibuliwa huyu jamaa ikija kutoka madarakani. Ndivyo ilivyo hata wakati wa Hitler dunia ilikua haiamini story za ukatili uliokua unafanywa na serkali yake kilikua ni kitu ambacho hakiingii akilini.
Pengine huyu "kiongozi wa malaika" atakuja kulindwa na mrithi wake, ila ole wenu mnaotumika kutekeleza huo ukatili mtalipia matendo yenu kikamilifu.
Basi acha kuitukana serikali...!!Ni bora kuliko kufanyiwa ya Adrian Mawazo, Ben Saanane, Roma Mkatoliki na akatupwe Ununio.
kama watu wana mpango wa kukuua utafanyaje?utaendelea kubaki kwenye nchi hata kama ni home?Na umri huo kukimbiq nchi Ni mateso sana, Tanzania is the best place to live asikwambiye MTU. Nenda kokote duniani lakini home is the best. Huyo atatamani kurudi baada ya mwaka Mmoja.ulaya, marekani Ni kukaa kwa muda tu lakini siyo kuweka makazi ya kudumu.
Tarehe ishirini na saba mwezi wa nne nitakuuliza kama Ngurumo atarudi au la. Ha ha ha, utasubiri sana na hayo maandamano hewa.Baada ya matokeo ya nguvu ya wananchi 26/4 atarudi tuu!
Na hapo ndio atatusaidia kuweka wazi ule ushahidi ulio sababisha Mwanahalisi kufungiwa.
Kama vile nawaona Savimbi na Bashite wakipokewa Segerea na vijana