Uchaguzi 2020 Mwandishi John Marwa wa Dar24 akamatwa kwa kumkashifu Naibu Waziri Mwita Waitara

Uchaguzi 2020 Mwandishi John Marwa wa Dar24 akamatwa kwa kumkashifu Naibu Waziri Mwita Waitara

waitara hana shida na jimbo la ukonga, akili yake ipo tarime vijijini ambapo huenda akachuana ndani ya chama na akina gimunta, eliakimu maswi, nyerere mwera, dr. maricha,na wengine wengi, so ni muda muafaka kama kiongozi akajitafakari maana kwenye siasa kuna kuchafuana, cha msingi asiwe na jaziba hasa pale km wana tarime/ukonga tunapomkosoa.
 
Tatizo la waandishi wetu hawana umoja...wengi wanajali matumbo yao huku wakiiacha tasnia yao ikinyongwa huku wakishihudia.

Wewe unadhani waandishi wa habari nikama kundi lenu la chadema? Ukatukane kule hafu uje tukuchangie. Huo ujinga wa ngazi ya kulewa Faru John nakudai umetekwa upo chadema.

Waandishi tutakuwa na wewe penye haki, ila ukipewa vipesa ukatukana harafu useme tuwe pamoja hilo hatuko hivyo.

Wamsaidie walio mtuma, maana huwezi kusema huyu aliwahi kulala na mama yake ili apate ubunge, huo ni ujinga wa Faru John! Aende akathibitishe.
 
Tukiweka hapa vitu alivyoandika na huyo jamaa yke utashangaa maneno km hayo kuwekwa kwenye kundi la watssap na mtu anaejiita mwandishi wa habari.

Ifike sehem uhuru wakutoa maoni uambatane na kuheshim utu wa mtu.

Eti waandishi wa habari! Hao dar24 wanazoa zoa watu nakuwapa hadhi zisizo zao, Uandishi wa habari nitasnia iliyotoa kiongozi mkuu wa nchi hii ndg W. Benjamini Mkapa lazima iheshimiwe.
 
Wewe unadhani waandishi wa habari nikama kundi lenu la chadema? Ukatukane kule hafu uje tukuchangie. Huo ujinga wa ngazi ya kulewa faru john nakudai umetekwa upo chadema.
Waandishi tutakuwa na wewe penye haki, ila ukipewa vipesa ukatukana harafu useme tuwe pamoja hilo hatuko hivyo.
Wamsaidie walio mtuma, maana huwezi kusema huyu aliwahi kulala na mama yake ili apate ubunge, huo ni ujinga wa faru john! Aende akathibitishe.
Wewe ni mwandishi wa habari? Na ndiyo hujui hata kuandika?

Harafu ni neno gani katika kiswahili?

Walio mtuma ni nini hiki?

Hii tasnia ni useless. Alichosema Mkapa juu ya hii tasnia kinasadifu mpaka leo.
 
1591797417192.png

John Marwa
what i know ni kwamba JOHN MARWA ni mwandishi wa Blog ya DAR MPYA
 
Wewe ni mwandishi wa habari? Na ndiyo hujui hata kuandika?

Harafu ni neno gani katika kiswahili?

Walio mtuma ni nini hiki?

Hii tasnia ni useless. Alichosema Mkapa juu ya hii tasnia kinasadifu mpaka leo.
Wewe unayejua kuandika nenda sasa ukamdhamini huyo mwandishi uchwara.
Mnatatizo la kuukwepa ukweli kwa kiwango cha Faru John!

Issue ni kutaka sisi waandishi wa habari kwanini hatumsaidii! Ukilikoroga , usiombe msaada wa kulinywa, linywe mwenyewe #kabendela.
 
Back
Top Bottom