Uchaguzi 2020 Mwandishi John Marwa wa Dar24 akamatwa kwa kumkashifu Naibu Waziri Mwita Waitara

Uchaguzi 2020 Mwandishi John Marwa wa Dar24 akamatwa kwa kumkashifu Naibu Waziri Mwita Waitara

Mh. Waitara ana shida mahala maana hataki kukosolewa hata kidogo,yeyote atakayempinga tu anamchukulia hatua.Hii ni dalili mbaya sana kwani inaashiria anguko kuu la Waitara


Huyu Waitara ni Dada au? naona matendo yake ni kama ya watoto si rizki , au vijana walishampa kazi mjini?
 
Walikuwa kwenye kikao cha ndugu (wanaTarime) sasa kamata hiyo vipi?
 
Funguka Mkuu kuna Haki hapo Imekanyagwa!!!
Hayo mambo ya kutetea haki iliyo kanyagwa Pascal Mayalla kesha achana nayo msimchoshe!
Au mnataka aachwe kuitwa kwenye "Jicho letu ndani ya Habari"? na kukosa mshiko? Kila mtu apambane na hali yake bwana!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa alisoma Arusha tech, alikuwa anapenda harakati za kisiasa nilishangaa kuona kawa mtangazaji pengine alibadili fani.
 
Huyu mpuuzi ameona hachuguliki pamoja na sura yake mbaya ameanza kutumia madaraka kukandamiza watu
 
Tukiweka hapa vitu alivyoandika na huyo jamaa yke utashangaa maneno km hayo kuwekwa kwenye kundi la watssap na mtu anaejiita mwandishi wa habari.
Ifike sehem uhuru wakutoa maoni uambatane na kuheshim utu wa mtu.

Eti waandishi wa habari! Hao dar24 wanazoa zoa watu nakuwapa hadhi zisizo zao, Uandishi wa habari nitasnia iliyotoa kiongozi mkuu wa nchi hii ndg w.benjamini mkapa lazima iheshimiwe.
Mko K. Vant ya ngapi saa hii ?
 
Uchaguzi upi? Kuna uchaguzi hapo? Zanzibar form za uchaguzi wa Rais wamechukua wangapi? vipi Tanganyika Dodoma achukue form mtu mmoja pekee wakati wapo wana CCM kibao wanautaka Urais
Funga macho nyamaza maisha ya endeleee.
 
Issue ni dhamana, hakuna anaepinga.Kama amekiuka cyber crime act itajulikama mahakamani.Kwa sasa dhamana ni haki yake, uimla unaonekana pale anaponyimwa dhamama kinyume na sheria,au?
Kwa sasa hatuendi kwa mtindo huo yuko kwenye maagizo.
 
Wewe unadhani waandishi wa habari nikama kundi lenu la chadema? Ukatukane kule hafu uje tukuchangie. Huo ujinga wa ngazi ya kulewa Faru John nakudai umetekwa upo chadema.

Waandishi tutakuwa na wewe penye haki, ila ukipewa vipesa ukatukana harafu useme tuwe pamoja hilo hatuko hivyo.

Wamsaidie walio mtuma, maana huwezi kusema huyu aliwahi kulala na mama yake ili apate ubunge, huo ni ujinga wa Faru John! Aende akathibitishe.
Acha ubwege wewe kama unajua huwa kuna vicent hutoka ina maana wewe ni kinara wa kupokea vicent ili kuitukana chadema, wewe mbona umepewa vicent kuitukana chadema nani yupo pamoja na wewe? hawezi kusema nini? Kama jambo ni la ukweli kwa nini asiseme kisa umekula vicent vya mwita waitara umeamua kujitoa fahamu zote ukazania watu hawajui Tabia zake
 
Akijitoa maana ake kajitenga na wananchi na vijana wa chama...atulie humo humo apate ukweli wake anafeli sana
Waitara ni mkatili sana hataki kukosolewa ana roho mbaya sana
 
Back
Top Bottom