Uchaguzi 2020 Mwandishi John Marwa wa Dar24 akamatwa kwa kumkashifu Naibu Waziri Mwita Waitara

Uchaguzi 2020 Mwandishi John Marwa wa Dar24 akamatwa kwa kumkashifu Naibu Waziri Mwita Waitara

Tabia ya kuwa mnayazua mambo nakutaka tuwasaidie hiyo tabia ipo chadema pekee.
Nahisi nao wameanza kushtuka.

Atafte mwanasheria wake amsaidie, mlishafanya uchaguzi kuwa sehem yakujipatia vipato vya aibu! Mtaishia jela! Namuunga mkono waitara kumsweka rockup pimbi huyu.

Maana maneno aloyaandika huwezi kuyaweka hapa kama unahakiri timamu.
 
Wewe unayejua kuandika nenda sasa ukamdhamini huyo mwandishi uchwara.
Mnatatizo la kuukwepa ukweli kwa kiwango cha faru john!
Issue ni kutaka sisi waandishi wa habari kwanini hatumsaidii! Ukilikoroga , usiombe msaada wa kulinywa, linywe mwenyewe #kabendela.
'...mnatatizo...'

Unashauriwa kuacha nafasi.
 
Tabia ya kuwa mnayazua mambo nakutaka tuwasaidie hiyo tabia ipo chadema pekee.
Nahisi nao wameanza kushtuka.
Atafte mwanasheria wake amsaidie, mlishafanya uchaguzi kuwa sehem yakujipatia vipato vya aibu! Mtaishia jela! Namuunga mkono waitara kumsweka rockup pimbi huyu.

Maana maneno aloyaandika huwezi kuyaweka hapa km unahakiri timamu.
.. rockup ndiyo nini mkuu?

..unahakiri ni nini hichi?
 
Uwepo wa mitandao, ufikishaji wa taarifa kwa haraka zaidi umesaidia sana kwa sisi kuwaelewa viongozi wetu.

Kama Mwita atarudi Bungeni, inabidi wananchi tupimwe akili.
 
Kosa lake ni Kumkashifu Naibu Waziri ama ni Kumkashifu Mwita Waitara ambaye ni Naibu Waziri?

Maana kuna mapumbavu yanatumia cheo kukudhalilisha, wewe ukijibu mapigo unapewa Shitaka la Kudhalilisha Cheo chake.

Na ikumbukwe tuna viongozi wengi sana ambao hawakustahili kuwa na vyeo walivyo navyo ni basi tu kujipendekeza na katiba dhaifu vimewabeba.
 
Uzuri wetu watanzania huwa hatukosoani ki hoja, ni kibinafsi na kwa kudhihakiana.
Tunachotakiwa kufanya sasa ni kuacha uvivu wa kusoma, na kuzisoma hizi sheria za kisasa na kuzikariri. Ili kila ukifungua kinywa, ujue utakapochopokea.
 
Cyber crimes Act, inafanya kazi wala sio utawala wa kiimla.
Issue ni dhamana, hakuna anaepinga.Kama amekiuka cyber crime act itajulikama mahakamani.Kwa sasa dhamana ni haki yake, uimla unaonekana pale anaponyimwa dhamama kinyume na sheria,au?
 
Uzuri wetu watanzania huwa hatukosoani ki hoja, ni kibinafsi na kwa kudhihakiana.
Tunachotakiwa kufanya sasa ni kuacha uvivu wa kusoma, na kuzisoma hizi sheria za kisasa na kuzikariri. Ili kila ukifungua kinywa, ujue utakapochopokea.

Tatizo watu hawaangalii facts ni kuchafuana tu. Na hili lina mwisho, mwisho wake upo njiani. Wapo watakaodhihaki lakini lipo njiani mark my words. Hivi unafikiri JF itaendelea namna hii hadi lini? Watanzania tujirekebishe sivyo tunajidharaulisha wenyewe. Ukiwa mwandishi wa habari na kupotoka kwenye protocol ambazo zimewekwa unachukuliwa hatua. Vile vile ni sawa na mtu akikuchafua JF unaweza kuishitaki JF mahakamani. Huo ndio uhuru ambao unatakiwa. Je, tupo tayari kutumia majina yetu halisi na kusema tunayoyasema? Kama sivyo mwalimu mzuri ni kujisahihisha, nafahamu wengi hawalipendi hili lakini lipo njiani na linakuja. Better be prepared.

Max Mello amejitahidi pale alipoweza lakini hawezi kuwa kasuku wa kuwatetea watu ambao wana hulka ya Majungu na Propaganda. Max anahitaji kuishi Maisha yake siyo ya kutetea watu ambao kutwa kucha ni kutoa majungu na propaganda. Mwalimu JK Nyerere kuna wakati alisema ''Wakati ni huu'' wapo wanayoyakumbuka maneno hayo tujisahihishe.
 
Mwita kawa zwazwa sana tangu alipounga mkono juhudi. Bila shaka huko huko alipo anaweza kukatwa na jina lisirudi.
 
Tatizo watu hawaangalii facts ni kuchafuana tu. Na hili lina mwisho, mwisho wake upo njiani. Wapo watakaodhihaki lakini lipo njiani mark my words. Hivi unafikiri JF itaendelea namna hii hadi lini? Watanzania tujirekebishe sivyo tunajidharaulisha wenyewe. Ukiwa mwandishi wa habari na kupotoka kwenye protocol ambazo zimewekwa unachukuliwa hatua. Vile vile ni sawa na mtu akikuchafua JF unaweza kuishitaki JF mahakamani. Huo ndio uhuru ambao unatakiwa. Je, tupo tayari kutumia majina yetu halisi na kusema tunayoyasema? Kama sivyo mwalimu mzuri ni kujisahihisha, nafahamu wengi hawalipendi hili lakini lipo njiani na linakuja. Better be prepared.

Max Mello amejitahidi pale alipoweza lakini hawezi kuwa kasuku wa kuwatetea watu ambao wana hulka ya Majungu na Propaganda. Max anahitaji kuishi Maisha yake siyo ya kutetea watu ambao kutwa kucha ni kutoa majungu na propaganda. Mwalimu JK Nyerere kuna wakati alisema ''Wakati ni huu'' wapo wanayoyakumbuka maneno hayo tujisahihishe.
Je hao wanao wanyamazisha watu ili wasisemwe haiwezi kuwa visa vesa?

Wakakamatwa wao na kufunguliwa mashitaka ya kuvunja sheria kuuwa na kupoteza watu?

Kama huamini omba uzima, au angalia picha ya kina Bashiru!!
Nothing goes on forever, end will come my dear!!
 
Magu ndio Atashinda .
Nakuwa raisi napia ataongoza nchi penda msipende .
Uchaguzi upi? Kuna uchaguzi hapo? Zanzibar form za uchaguzi wa Rais wamechukua wangapi? vipi Tanganyika Dodoma achukue form mtu mmoja pekee wakati wapo wana CCM kibao wanautaka Urais
 
Je hao wanao wanyamazisha watu ili wasisemwe haiwezi kuwa visa vesa??
Wakakamatwa wao na kufunguliwa mashitaka ya kuvunja sheria kuuwa na kupoteza watu??
Kama huamini omba uzima, au angalia picha ya kina Bashiru!!
Nothing goes on forever, end will come my dear!!
Kumweka mtu kituo cha Polisi zaidi ya saa 48 pasipo kumfikisha mahakamani ni kosa kisheria
 
Tuyaone hayo majibizano

Ingawaje kama aliwekamo na matusi, siwezi tetea
 
Back
Top Bottom