Ilisolokobwe
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,856
- 814
Vipi umeshajua alichoandika John Marwa huko WhatsApp?Mh. Waitara ana shida mahala maana hataki kukosolewa hata kidogo,yeyote atakayempinga tu anamchukulia hatua.Hii ni dalili mbaya sana kwani inaashiria anguko kuu la Waitara
Hakuna cha duh hapo mzee baba. Ndio wenzako hao. PolicestateDuh...!.
P
Toto[emoji7][emoji7]Mmh kazi ipo!
Bwana eh shuguli ipoMwezi wa saba utakuwa mbaya sana, utakuwa mwezi wa vipigo na kufungana
Tatizo la waandishi wetu hawana umoja...wengi wanajali matumbo yao huku wakiiacha tasnia yao ikinyongwa huku wakishihudia.
Wewe ni mwandishi wa habari? Na ndiyo hujui hata kuandika?Wewe unadhani waandishi wa habari nikama kundi lenu la chadema? Ukatukane kule hafu uje tukuchangie. Huo ujinga wa ngazi ya kulewa faru john nakudai umetekwa upo chadema.
Waandishi tutakuwa na wewe penye haki, ila ukipewa vipesa ukatukana harafu useme tuwe pamoja hilo hatuko hivyo.
Wamsaidie walio mtuma, maana huwezi kusema huyu aliwahi kulala na mama yake ili apate ubunge, huo ni ujinga wa faru john! Aende akathibitishe.
Was just busy chasing them papers...I'm glad to hear that from you Toto[emoji8][emoji8]Where have you been? I missed you!
what i know ni kwamba JOHN MARWA ni mwandishi wa Blog ya DAR MPYA
John Marwa
Hello Bro your caliber doesn't support to end up with Duh...…. remark.Duh...!.
P
Wewe unayejua kuandika nenda sasa ukamdhamini huyo mwandishi uchwara.Wewe ni mwandishi wa habari? Na ndiyo hujui hata kuandika?
Harafu ni neno gani katika kiswahili?
Walio mtuma ni nini hiki?
Hii tasnia ni useless. Alichosema Mkapa juu ya hii tasnia kinasadifu mpaka leo.
Ndio hivyo. Mh. Waitara hataki changamotoSi Mchezo!!