Enzi na Enzi
JF-Expert Member
- May 29, 2020
- 888
- 821
'...mnatatizo...'Wewe unayejua kuandika nenda sasa ukamdhamini huyo mwandishi uchwara.
Mnatatizo la kuukwepa ukweli kwa kiwango cha faru john!
Issue ni kutaka sisi waandishi wa habari kwanini hatumsaidii! Ukilikoroga , usiombe msaada wa kulinywa, linywe mwenyewe #kabendela.
.. rockup ndiyo nini mkuu?Tabia ya kuwa mnayazua mambo nakutaka tuwasaidie hiyo tabia ipo chadema pekee.
Nahisi nao wameanza kushtuka.
Atafte mwanasheria wake amsaidie, mlishafanya uchaguzi kuwa sehem yakujipatia vipato vya aibu! Mtaishia jela! Namuunga mkono waitara kumsweka rockup pimbi huyu.
Maana maneno aloyaandika huwezi kuyaweka hapa km unahakiri timamu.
Issue ni dhamana, hakuna anaepinga.Kama amekiuka cyber crime act itajulikama mahakamani.Kwa sasa dhamana ni haki yake, uimla unaonekana pale anaponyimwa dhamama kinyume na sheria,au?Cyber crimes Act, inafanya kazi wala sio utawala wa kiimla.
Uzuri wetu watanzania huwa hatukosoani ki hoja, ni kibinafsi na kwa kudhihakiana.
Tunachotakiwa kufanya sasa ni kuacha uvivu wa kusoma, na kuzisoma hizi sheria za kisasa na kuzikariri. Ili kila ukifungua kinywa, ujue utakapochopokea.
Patam sana kwani mbio za sakafuni huishia ukingoniHii nchi inakoelekea...
Je hao wanao wanyamazisha watu ili wasisemwe haiwezi kuwa visa vesa?Tatizo watu hawaangalii facts ni kuchafuana tu. Na hili lina mwisho, mwisho wake upo njiani. Wapo watakaodhihaki lakini lipo njiani mark my words. Hivi unafikiri JF itaendelea namna hii hadi lini? Watanzania tujirekebishe sivyo tunajidharaulisha wenyewe. Ukiwa mwandishi wa habari na kupotoka kwenye protocol ambazo zimewekwa unachukuliwa hatua. Vile vile ni sawa na mtu akikuchafua JF unaweza kuishitaki JF mahakamani. Huo ndio uhuru ambao unatakiwa. Je, tupo tayari kutumia majina yetu halisi na kusema tunayoyasema? Kama sivyo mwalimu mzuri ni kujisahihisha, nafahamu wengi hawalipendi hili lakini lipo njiani na linakuja. Better be prepared.
Max Mello amejitahidi pale alipoweza lakini hawezi kuwa kasuku wa kuwatetea watu ambao wana hulka ya Majungu na Propaganda. Max anahitaji kuishi Maisha yake siyo ya kutetea watu ambao kutwa kucha ni kutoa majungu na propaganda. Mwalimu JK Nyerere kuna wakati alisema ''Wakati ni huu'' wapo wanayoyakumbuka maneno hayo tujisahihishe.
Uchaguzi upi? Kuna uchaguzi hapo? Zanzibar form za uchaguzi wa Rais wamechukua wangapi? vipi Tanganyika Dodoma achukue form mtu mmoja pekee wakati wapo wana CCM kibao wanautaka UraisMagu ndio Atashinda .
Nakuwa raisi napia ataongoza nchi penda msipende .
Kumweka mtu kituo cha Polisi zaidi ya saa 48 pasipo kumfikisha mahakamani ni kosa kisheriaJe hao wanao wanyamazisha watu ili wasisemwe haiwezi kuwa visa vesa??
Wakakamatwa wao na kufunguliwa mashitaka ya kuvunja sheria kuuwa na kupoteza watu??
Kama huamini omba uzima, au angalia picha ya kina Bashiru!!
Nothing goes on forever, end will come my dear!!
Walikuwepo akina Bokasa, Gadafi, Sadam Hussein, Abacha, chiluba, mabutu, Elbashiri, Iddy Amini Fada wakatili zaidi leo hii wapo wapi?Duh...!.
P
Siku kiongozi wa CCM akifikishwa The Hague ndipo siku hiyo waonevu wote kutoka CCM mtakaa kimyaDuh...!.
P