Petro hakutumwa na YESU akate sikio la binadamu mwingine anayetaka kumdhuru YESU, ni hisia zake zilimtuma akiamini anampigania.Ni kati ya dini za mwilini hiyo na ndiyo maana mungu wao anapambaniwa na wanadamu ila Mungu kamwe hapambaniwi na watu maana yeye ni juu ya vyote baada yake hakuna mwingine.
Hadithi ni kulingana na wewe Yoda. Kwa mwingine kwake si hadithi ni jambo halisi. Hapa ndipo heshima inapotakiwa ifanye kazi na ni kinyume cha sheria pia kutukana imani nyingine kwa namna itakayoonyesha kumvunjia heshima huyo muamini. Ni simpe tu, HESHIMU IMANI YA MWINGINE. MAISHA NI MAZURI SANA KAMA TUTAHESHIMIANA.Huelewei vitu unavyojaribu unacholinganisha.
Mama yako ni halisi na anaweza kuthibitika, mambo mengi ya dini ni hadithi zisizo na uthbitisho kama za Abunuwasi.
Zipo dini humpambania mungu wao hata ikibidi kuuwa wengine na ahadi wamepewa ya nini watapata pindi wanapompambania mungu wao na ukitaka watakuonyesha kwenye misaafu yao.Petro hakutumwa na YESU akate sikio la binadamu mwingine anayetaka kumdhuru YESU, ni hisia zake zilimtuma akiamini anampigania.
Lazima tutofautishe kumpambania mungu na hisia. Ni simple tu, sisi wakristo tuheshimu hisia za binadamu wa imani tofauti sababu tusipoziheshimu hisia zao zinaweza zikawapelekea kufanya maamuzi mabaya. Kuna watu kihisia wanaamini wako karibu sana na mungu wanae muabudu.
Hawawezi jaribu ndani ya nchi hii wakabaki salama. Ninachosema ni kwamba sisi tuliostaarabika tusitoke tukaanza kutukana hovyo sababu tunaamini tunayemtukana hayupo sahihi kuabudu mungu anayemuabudu.Zipo dini humpambania mungu wao hata ikibidi kuuwa wengine na ahadi wamepewa ya nini watapata pindi wanapompambania mungu wao na ukitaka watakuonyesha kwenye misaafu yao.
Mambo ya imani hayodini ya wavaa kobaz inajidhihirisha ujinga wake ,hv mungu hajiwez mpk mumpiganie , si aliwaumba lkn ?
Hukumu yake ya kifo ilitolewa Iran na kiongozi mkuu wa kidiniMbona huu ushambuliaji naona kama Wazungu wametekeleza wenyewe. Naona kuna kitu wanataka justification ya kuanza kuinajisi Iran
Ziara ya Putin Iran siku chache zilizopita inaonekana imewatia tumbo joto
Let's wait n see
Ukiambiwa mama malaya na kweli ni malaya ndio upaniki...huo utakua ni upungufu wa akili..hii dini ni dini ya waliokosa akili..wengi wamejazwa ujinga na upuuzi.Unajua maana ya personalization? na kuheshimu vya wengine?
Dini ni kama mama mzazi ni kitu very personal, au wewe unaweza kukubali nikutukanie mama yako mzazi hapa?
Utakaa chini na kusema utapata faida gani? je wewe hauna connection na emotions juu ya mama yako?
Wewe unaweza usiwe na connection kubwa na dini yako, lakini huyo ni wewe means heshimu vya watu.
Au mmekuzwa kutukana na kutoheshimu vya watu.
Sijapata kuona mjinga humu kukuzidi wewe..dini ya wavaa kobaz inajidhihirisha ujinga wake ,hv mungu hajiwez mpk mumpiganie , si aliwaumba lkn ?
Namuona mpuuzi sana mtu anayekashifu dini ya mwenzake wakati na yeye anamini katika na usikute hata dini yake wala maandiko yake hajayachunguza..Ukiambiwa mama malaya na kweli ni malaya ndio upaniki...huo utakua ni upungufu wa akili..hii dini ni dini ya waliokosa akili..wengi wamejazwa ujinga na upuuzi.
Ndio ambayo sio salama kwa dunia hii ya sasa..inapaswa iangaliwe kwa umakini mkubwa sana..kila ilipo hii dini hakuna amani...kama ipo basi kinafiki.
#MaendeleoHayanaChama
Dini dhaifu sana..uukiona hivyo ina mapungufu mengi..hivyo fatwa na kama defensive mechanism isiwekwe uchi..satanic verses.Mkuu umefurahishwa na kifo cha huyo mwandishi?
Fatwaa ni diffencive mechanism ya dini yako kila inapokosolewa?
Tumia elimu yako vizuri
Wewe ndio mwenye akili finyu umekurupuka kumquote kama unavyokurupuka kusoma vifungu vya kitabu chako cha dini bila kutumia akili .Hii dini waumini wake ndio mfano wa huyu..wengi hawawezi kujibu hoja mana wana akili finyu..hivyo kwa hasira na ujinga huanza kujibu matusi na kutukana hovyo kisha hujilipua mana ndio akili zao zilipofikia ukomo wa kufikiri.
#MaendeleoHayanaChama
Hahaaa..umenikumbusha maneno ya mandonga ..eti shabani kaoneka umepanda mtubwi wa vibwengo,mtubwi wa vibengwo huwa hauvushi watu.[emoji28]Ajitetee mwenyewe.
Kama hawezi kujitetea ni kibwengo tu kama vibwengo wengine.
Tuko kwenye Agano Jipya, sisi watu wa mataifa. We're the Gentiles.Utakua humjui Musa na taurati
huyi jamaa kamponda had mchoma kisu kuwa kapigana na mpumbav na ikamfanya kuwa mpumbav piaNimeiona hiyo point.
Heshima yako mkuu..mana huyu jamaa ndio namsikia leo kusema ukweli.Haya nipe heshima yangu mdogo wangu
Marekani iwe macho sana na wavaa kobazi waliopo nchini mwake.Marekani sio mahali Salama
ulikuepo ? ndo huo huo ujinga tunazungumzia hapaMungu kwani sio mkali unakumbuka sodoma na gomola walichofanywa?