Mwandishi Salman Rushdie avamiwa na kuchomwa kisu kwenye mhadhara, New York

Na ndio maana nyinyi mungu wenu mlishindwa kumpgania mnashuhudia Kwa macho yenu anasulubiwa mpaka akabaki na chupi mnataka apambane mwenyewe siana uwezo
km mungu kakuumba bas huez mpigania maana anakuzid kila kitu
 
Ajitetee mwenyewe.

Kama hawezi kujitetea ni kibwengo tu kama vibwengo wengine.
Kama na wewe una amini katika dini haina haja ya kuwakashifu wenzako..

Tuanze na maswali.

1.Visa vilivyomo katika kitabu chako cha dini na miujiza iliyopo mule unaweza kututhibitishia?kama hauwezi ukiitwa mjinga mshenzi na dini yako ya ujinga ushenzi itakua makosa .

2.Kama wakwao mpk apiganiwe mbona wako mpk umuombe kwani si muweza wa yote kwa nini akutese na maombi? mtu akikuita mjinga na dini yako ya kijinga atakua amefanya makosa?

3.Kama kwenye dini yako inafundishwa kuna Mitume na Manabii sasa kwa nini wapendelewe baadhi halafu wa huku Buza tuachwe dini mpk tuletewe ? Nikisema unaamini dini ya wajinga na washenzi nitakua nafanya makosa ?
 
Acheni kuua watu..usije na vi naneno vyako vya kutia huruma..hii dini imekua ni dini ya chuki na visasi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nyiny mnatatizo sn ,ingia kweny misikit utasikia mawaidha ya kukashif ukristu , madrasa watoto wanafundishwa chuki dhid ya ukristu ( nmesoma madrassa na mafundishp ya rc pia kwa walokole ila waislam nliona mafundisho ya uchochez mengi ) , mnafikia hatua had kweny daladala mnaweka mawaidha ya uchafudhi wa dini za wengine mf temeke _ toangoma , buza _ magenge nimewahi sikia mawaidha yanasema ukristu ni ushetan ila wakristu walitulia kimya wakamwelekeza dereva kwa utulivu bila kushika kisu au panga
 
km mungu kakuumba bas huez mpigania maana anakuzid kila kitu
Wewe mtu ni mpuuzi sijawahi kuona hata muandiko wako unathibitisha ujinga wako na sijui kama umevuka hata darasa la nne yaani makosa kibao ya uandishi kama mtoto wa chekechea.

Twende kwenye swali.
1.Kama Mungu hawezi kupiganiwa ni muweza wa kila kitu kwa mantiki hiyo hata kwa nini dini zote hata ujinga unaouamini tunafundishwa mtu ukiwa na shida umuombe hata na ndio maana watu nafanya maombi kanisani sasa kwa nini tumuombe wakati yeye muweza wa yote na anajua ya ndani ? Nikikuita mpuuzi kwa mara ya pili tena mjinga uliyetukuka nitakua nakosea.
 
km hujui tulia uliza mkuu , wavaa kobaz ni wakolof sn
 
Reactions: Tsh
km hujui tulia uliza mkuu , wavaa kobaz ni wakolof sn
"Wakolof "ndio nini akili unazo kweli kiswahili tu shida kuandika je article ya kingereza utaweza kusoma kweli ?

Sahihi kuweka 'r' isomeke wakorofi
 
Na ndio maana nyinyi mungu wenu mlishindwa kumpgania mnashuhudia Kwa macho yenu anasulubiwa mpaka akabaki na chupi mnataka apambane mwenyewe siana uwezo
Tenga muda kasome biblia vizuri ndio uje kusema hichi unachokisema..pole sana acha kupanik..dini ni upendo na amani na kuishi na watu wote sio chuki na visasi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mbona unamuuliza maswali ya kitoto hivi
 
Maustaadh na wavaa kobaz wamefurahi kweli kweli ..Mungu wao amechanganyikiwa haswa ..ona waumini wake wanavyofanya ..ukishakuwa mvaa kobaz unakuwa kama Mungu wao takbiiir takbiiiir takbiiirr
 
Na ndio maana nyinyi mungu wenu mlishindwa kumpgania mnashuhudia Kwa macho yenu anasulubiwa mpaka akabaki na chupi mnataka apambane mwenyewe siana uwezo
Nyie wavaa kobaz uyo Mwinyaaz wenu ndio kawatuma kuwadhuru wengine kwa kujitoa muhanga kisa mabikra 72 mloahidiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…