Nithibitishie ufufuo ?Nimeona vingi unaandika na sielewi ulivyovisoma Kama vipo sawa... HV hujawahi kuwaona Wakristo wanaopotosha kupitia Biblia Hy hy na wao wakisema wanaongoza watu na wanakanisa .
Tatizo sio maarifa ila maarifa sahihi.
Nithibitishie ufufuo ?
Kukaushwa kwa bahari kwa fimbo ya Musa?
Nb: Vitu vyote vipo kwenye bible nataka uthibitishe ukweli wa hizo hadithi .
Jamaa anasoma BIBLIA na kutafsiri mistari yake kama gazeti la mipasho.Nimegundua kitu kuwa maneno ya Biblia unavyoyatafsiri na maana zake halisi zilivyo Ni ngumu wewe kuelewa.
Bahari tufanye tatizo mbele yako fimbo kunyooshwa mbele no kumtanguliza Mungu katika shida hiyo
Bible iliyoandikwa kale inaakisi maisha yetu halisi ya Sasa na hate baadae.
Mzee naona una hama hama TU[emoji23][emoji23]
Kaa chini isome kwa makin
Bible imeandikwa hvy ili kila mtu atakaye pata ufunuo hupewa tafsiri na neno la kuthibitisha [emoji41]
We jamaa mweupe kabisa ,kama haujathibisha vipi muhindu au mtu wa dini nyingine akikosolewa kuhusu maandiko yako akaja na jibu jepesi kama lako kuwa maandiko yake ni ya ukweli utatumia hoja zipi kumpinga wakati wote mpo katika boti moja ya kuamini tu ?Nimegundua kitu kuwa maneno ya Biblia unavyoyatafsiri na maana zake halisi zilivyo Ni ngumu wewe kuelewa.
Bahari tufanye tatizo mbele yako fimbo kunyooshwa mbele no kumtanguliza Mungu katika shida hiyo
Bible iliyoandikwa kale inaakisi maisha yetu halisi ya Sasa na hate baadae.
Mzee naona una hama hama TUππ
Kaa chini isome kwa makin
Bible imeandikwa hvy ili kila mtu atakaye pata ufunuo hupewa tafsiri na neno la kuthibitisha π
Unaweza kuthibitisha hizo habari vipi mtu mwingine aje na madai kuwa babu yake enzi za kale alifanya miujiza na Mtume na dini ya kweli utaweza vipi kumpinga ?Jamaa anasoma BIBLIA kama gazeti la mipasho.
Cha ajabu zaidi anadhani kila kitabu kilichoandikwa enzi hizo kinaakisi tabia ya kikristo [emoji16] kumbe tangu Yesu afanyike kuwa damu ya kafara kwetu Binadamu wadhambi basi habari za jino kwa jino ziliishia pale pale [emoji38]
Kibaya zaidi hajui hata upanga ni neno lake Mungu wala si ule wa kibinadamu wa kutunzwa kwenye ala [emoji13]
Acha kuswali Mana kinachokufanya kuswali Ni kipi Kama sio iman .We jamaa mweupe kabisa ,kama haujathibisha vipi muhindu au mtu wa dini nyingine akikosolewa kuhusu maandiko yako akaja na jibu jepesi kama lako kuwa maandiko yake ni ya ukweli utatumia hoja zipi kumpinga wakati wote mpo katika boti moja ya kuamini tu ?
Hayo MASWALI yako fungulia mada ktk uzi mwingine tuje tukupe majibu mubashara ili tusitoke nnje ya mada husika mezani.Unaweza kuthibitisha hizo habari vipi mtu mwingine aje na madai kuwa babu yake enzi za kale alifanya miujiza na Mtume na dini ya kweli utaweza vipi kumpinga ?
kwamba yalitendeka Ni vile tunayaona yakitendeka ht kwa kizazi hiki na zile sio Hadith kaka zile Ni ahadi weka sawa ilo jiweni kichwani kwako, hao wa marekani unao wafuatilia wanakupoteza ππWe jamaa mweupe kabisa ,kama haujathibisha vipi muhindu au mtu wa dini nyingine akikosolewa kuhusu maandiko yako akaja na jibu jepesi kama lako kuwa maandiko yake ni ya ukweli utatumia hoja zipi kumpinga wakati wote mpo katika boti moja ya kuamini tu ?
Ninachoshangaa kwanini zisiwe dini zingine kama Buddhism, Hinduism, paganism n.k badala yake kila siku mauaji ya visasi hufanywa na dini ya mnyaazi mungu tu?Unaweza kuthibitisha hizo habari vipi mtu mwingine aje na madai kuwa babu yake enzi za kale alifanya miujiza na Mtume na dini ya kweli utaweza vipi kumpinga ?
Jamaa anasoma BIBLIA na kutafsiri mistari yake kama gazeti la mipasho.
Cha ajabu zaidi anadhani kila kitabu kilichoandikwa ktk BIBLIA enzi hizo basi kinaakisi tabia halisi ya kikristo [emoji16] kumbe tangu Yesu afanyike kuwa damu ya kafara kwetu Binadamu wadhambi basi habari za jino kwa jino ziliishia pale pale [emoji38]
Kibaya zaidi hajui hata upanga ni neno lake Mungu wala si ule wa kibinadamu wa kutunzwa kwenye ala [emoji13]
Kati ya hilo kundi na haya ya isi..alshababu..alkaida..talibani..bokoharamu.Kuna waislamu wangapi na wanafanya hivyo wangapi ?
Hata wauaji wapo kwa upande wa kikirsto na kama hilinkundi la kugaidi linatumia hadi nembo ya msalaba View attachment 2322783
View attachment 2322785
Hizo machine zakupumulia hazitomsaidiaSafi sana[emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317]
I wish hicho kisu kingekua kimepakwa sumu afe aende akhera
Ndo nini hiki umeandikaWewe ndio mwenye akili finyu umekurupuka kumquote kama unavyokurupuka kusoma vifungu vya kitabu chako cha dini bila kutumia akili .
Hivi umefuatilia hapo Billy Butcher alipotukana nani aliyeanza kumtukana mwenzake na kutoa personal attack mimi sitetei alichokifanya sasa mbona wewe umemqoute na kukemea uovu wa mtu mmoja tena aliyechokozwa na kumuacha aliyeanzisha matusi ?
Pamoja na yote hukuridhika na ukaamua kuhusisha comment ya kutukana na Uislamu vipi kwani hakuna wakristo wanaotukana na kuongoza kwenye maovu na itakuwa makosa kusema hayo katoa kwenye dini yenu kama ulivyofanya ?
Zumaridi ,Nabii Shilla ,Kibwetere nk vipi hao wanatoa wapi mafundisho yao ?
Mkuu hawa si Ku klax klan?Kuna waislamu wangapi na wanafanya hivyo wangapi ?
Hata wauaji wapo kwa upande wa kikirsto na kama hilinkundi la kugaidi linatumia hadi nembo ya msalaba View attachment 2322783
View attachment 2322785
Hapa umenithibitishia kuwa nabishana na Popoma wa kiwango cha rami tukiachilia mbali kutomjibu maswali yangu umeendeleza upopoma wako kea kupiga ramli.Acha kuswali Mana kinachokufanya kuswali Ni kipi Kama sio iman .
Kumbe we Ni POPOMA ππ
Timu magaidi mmefurahi sana..sasa jamaa hajafa na huyo dogo na dugu zake kazi wanayo.Safi sana[emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317]
I wish hicho kisu kingekua kimepakwa sumu afe aende akhera