Nakumbuka Iran ilikumbwa na tetemeko kubwa Sana la ardhi walipata hasara namadhaya makubwa, Salman kutoka mafichoni akatoa mchango wa kutosha Iran wakapokea mchango wakamshukuru na kumwambia japo umetuchangia Fatwa.iko.palepale ,[emoji44][emoji44]Usiumie sana mkuu, huyu mwamba ali-trend sana those days kutokana na kitabu chake hata asingetaja kuna watu wangetaja kutokana na jinsi alivyokuwa "most wanted" kwenye nchi za mashariki ya kati
Hauna akili.Dini inayochochea mauaji
Mi sioni ajabu dini Ile ilijengwa katika msingi ya kushurutishwa uikiri au ufe kwa upanga.
Pole kwake kawachokoza jamaa wenye munkari.
Umesoma kilichoandikwa kwenye mada au unakurupuka kuandika kutokana na kilicho moja kwa moja ndani kabisa ya subconscious yako?Hawa wavaa vipedo huwa wanajiona nani hapa duniani?
How afraid of his words, or you cut his tongue because of how tired, insulted and humiliated by his words?When you cut off a man's tongue you're not showing the world how powerful you are but rather how afraid you are of his words.
Unajua maana ya personalization?Dini lenyewe la waarabu, unaacha mila zako unaenda kuua kisa dini ya kipuuzi ya kigeni.
Huu ni ujinga usiomithirika
"Mwandishi wa vitabu na makala maarufu Profesa Salman Rushdie amevamiwa na kuchomwa kisu akiwa kwenye mhadhara na anaedhaniwa kua ni muumini wa dini ya kiislamu huko New York"Umesoma kilichoandikwa kwenye mada au unakurupuka kuandika kutokana na kilicho moja kwa moja ndani kabisa ya subconscious yako?
Hate, isn't it?
Seriously?If you really think this guy is blasphemous then why don't you trust God or Allah or whoever to take care of it?
When you cannot proof yourself then you try to hide the truth by forceit's an emotional attachment and satisfaction, and more important is it's personalized
Dude what the hell you talking about? besides understanding did you even read that?When you cannot proof yourself then you try to hide the truth by force
Unaamini uwepo wa mungu?Kwaiyo wajuba wameamua kumuhukumu wameona mungu kama anamchelewesha hivi
Unajua maana ya imani, kuheshimu vya watu bila kujali vina mapungufu gani?Haya ni majinga Sana! Unampigania Mungu, yeye hana uwezo?