Mwandishi Salman Rushdie avamiwa na kuchomwa kisu kwenye mhadhara, New York

kwahiyo dini yenu inafundisha kutoa hukumu duniani? nini maana ya kiama ss ?
 
Hebu acha upumbavu mkuu.
Unajua maana ya "respect."

Dini ni kitu personal kama mzazi, au wewe utakubali nikutukanie mama yako?
Hii comment inaonesha either hauna akili au ni mjinga, au vyote kwa pamoja.
nyiny mngekuwa na heshima msingeteka mabasi huko kenya na kuchambua wakristu kuwachinja na kuwaacha waislam , kabla hujakosoa jiangalie upande wako
 
kwann nyiny msiheshim din nyingine kwanz ?
 
How afraid of his words, or you cut his tongue because of how tired, insulted and humiliated by his words?
That quote is immensely unrelated and Inapplicable here.

Who wrote the stupid quote?
rely on what you intended to do over him , thats symptom of fear of his words or existence , challenge him with words if you can
 
Dini lenyewe la waarabu, unaacha mila zako unaenda kuua kisa dini ya kipuuzi ya kigeni.

Huu ni ujinga usiomithirika
Mkuu uwe na heshima basi kidogo....kuwa na ID fake haimaanishi unaweza kuongea chochote unachojisikia...heshimu Imani za watu,let's say Kwa uelewa wako hiyo Dini imetoka uarabuni then what?
 
Mkuu uwe na heshima basi kidogo....kuwa na ID fake haimaanishi unaweza kuongea chochote unachojisikia...heshimu Imani za watu,let's say Kwa uelewa wako hiyo Dini imetoka uarabuni then what?
😄😄 Kijana kua mvumilivu,utulivu unalipa Hahah.
 
Dini sio kama mama yako wewe shoga. Dini unaweza kuamua kuiacha ama kuifuata ila mama yako huwezi kumkataa kwamba sio mama yako. Hata ukimkataa bado haiondoi uhalisia kua sio mama yako.

Ukishakua mfuasi wa hii dini na akili unapoteza kabisa?
huu ni ukwel ila hawataelewa
 
Hebu acha upumbavu wewe mbuzi.
Trust me ungekuwa karibu ningekun'goa meno.

Unajua maana ya imani, kuheshimu vya watu bila kujali vina mapungufu gani?
Jibu hilo swali jepesi tuone nani mjinga.
mbona nyiny mnachinja watu au hukuona huko kitaya ? au ndo dish limeyumba
 
hahahahaaaaaa
 
mungu si sw na mama ako , mungu kaumba kila kitu ila mama yako kakuumba ww tu ( kwa mujibu wa dini yenu ) ss iweje umsaidie kuchukua maamuz yake au hukumu
 
Okay mkuu....hawa ambao wako brain washed Wanamwamini mungu mmoja wa haki.....VP khs wewe unaye mwabudu mwanadamu mwenzako ambaye amezaliwa na mwanamke na kuamini kuwa Ni mungu! Nani yupo brain washed hapo? Have a respect brother usitafute umaarufu huku mitandaoni.

Haumini kuhus Uislamu just chill Tu....kwanini unateseka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…