Mwandishi wa Habari Luqman Maloto afungua kesi dhidi ya DCI na DPP kisa Tundu Lissu, Azory Gwanda na Ben Saanane

Mwandishi wa Habari Luqman Maloto afungua kesi dhidi ya DCI na DPP kisa Tundu Lissu, Azory Gwanda na Ben Saanane

Mwanahabari Luqman Maloto, amefungua kesi ya jinai No. 5/2023 dhidi ya DCI na DPP Mahakama Kuu, Dar es Salaam, akiiomba itamke ofisi hizo zimeshindwa kuchunguza matukio yaliyofanywa na wasiojulikana ikiwemo kushambuliwa Tundu Lissu, kupotea Azory Gwanda na Ben Saanane.

Chanzo: MwanaHalisi
Ni jambo zuri ili watenda haki watendewe haki.
Hii ndio njia pekee inayoweza kufanya watu waogope waheshimu haki za watanzania wenzao
 
Ingekuwa ni kikulacho muda tu wangeshakamatwa. Kama wamebambikiwa hadi kesi, ingekuwa wamefanya hayo si ingekuwa rahisi zaidi kwa hao wabambikiwa kesi.
Hee wasingepona siku ile ile na walivyokuwa hawapendwi🤣🤣
 
Namkikuta kikulacho... muwe wapole pia.
Sawa kinachotakiwa ni haki iwe ndani ya chama au nje ya chama lakini tujue nani hasa alihusika,kama ni yule wa kuzimu tukafukue kaburi lake tuchape viboko mifupa yake au kuichoma moto.
 
Vipi Mwangosi, profesa Jwan, Dr Ulimboka au hao siyo binadamu?

Na vipi wengine siyo public figure wamepotea au na wenyewe sio binadamu?

Kuwa biased ndio tunaimaliza hii nchi?
 
Vipi Mwangosi, profesa Jwan, Dr Ulimboka au hao siyo binadamu?

Na vipi wengine siyo public figure wamepotea au na wenyewe sio binadamu?

Kuwa biased ndio tunaimaliza hii nchi?
Masjala ya mahakama kuu ipo wazi kwa yeyote. Kama una mashaka na ushahidi waweza kwenda kufungua kesi kuwapatia haki uliowataja kwani Maloto kaonyesha njia.
 
Subiri tu, tuombe mahakama iwe huru ili tujiridhishe na uchafu/unyama ulioendeshwa na rais dhalimu ndani ya nchi hii.
Rais Samia Aache mahakama iwe chombo huru kitamsaidie serikali anayoongoza,haya Mambo ya Rais kuwa na mamlaka kuliko mahakama ndo imerudisha taifa letu nyuma,wauwaji waliofanya hayo wapo wanatembea mtaani na mahakama hazina sauti coz zinaogoka Rais pekee,Samia tupe katiba Mpya mkwamo upo kwako kwa maana ya nafasi ya Urais uliyoikalia,,
 
Back
Top Bottom