Mwandishi wa Habari Luqman Maloto afungua kesi dhidi ya DCI na DPP kisa Tundu Lissu, Azory Gwanda na Ben Saanane

Mwandishi wa Habari Luqman Maloto afungua kesi dhidi ya DCI na DPP kisa Tundu Lissu, Azory Gwanda na Ben Saanane

Rasta mbona wewe haujafungua kama ni kawaida? Au na wewe ni shujaa wa kwenye keyboard na anonymous ID?
Sasa ndugu yangu watafungua nchi nzima.
Pia mambo haya yanahitaji uelewa mpana. Wengine hatuyajui
 
ngoja ajaribu lakini kwa mahakama zipi? Za huyu Juma? kwa Jaji yupi? hawa wa sasa?

Pengine mwaka huu 2023 kila mtu na pia mhimili mmojawapo wa Dola mfano Mahakama zitavunja minyororo na kuwa huru

 
Mwanahabari Luqman Maloto, amefungua kesi ya jinai No. 5/2023 dhidi ya DCI na DPP Mahakama Kuu, Dar es Salaam, akiiomba itamke ofisi hizo zimeshindwa kuchunguza matukio yaliyofanywa na wasiojulikana ikiwemo kushambuliwa Tundu Lissu, kupotea Azory Gwanda na Ben Saanane.

Chanzo: MwanaHalisi
Njia pekee ya kuzuia yaliyotokea yasitokee tena.
 
Sijui kama kuna kitu kitakachotokea naona hii ni kama danganya toto ile mama anamwambia mtoto tema hapa tumpige hembu ngoja tuone
 
Pengine mwaka huu 2023 kila mtu na pia mhimili mmojawapo wa Dola mfano Mahakama zitavunja minyororo na kuwa huru

Ngoja tuone
 
HAKUNA CASE HAPO ITATUPILIWA MBALI..... MLOTO HANA MAMLAKA YA KUFUNGUA CASE YA JINAI......... WASTAGE OF TIME.........
Kwa mahakama zetu utashangaa, kila kitu kinawezekana. Jamaa wanatumia resources vibaya sana.

Waziri wa fedha anatakiwa adai kuona matukio ya value for money sasa. Aiwezekani mahakama ikiwa cost centre ya serikali na aitumii muda wake na resources effectively.
 
Ingekuwa ni kikulacho muda tu wangeshakamatwa. Kama wamebambikiwa hadi kesi, ingekuwa wamefanya hayo si ingekuwa rahisi zaidi kwa hao wabambikiwa kesi.
Sawa, tulia uone mbaka mwisho wa huo mchezo JF ipo hapa.
 
Sawa kinachotakiwa ni haki iwe ndani ya chama au nje ya chama lakini tujue nani hasa alihusika,kama ni yule wa kuzimu tukafukue kaburi lake tuchape viboko mifupa yake au kuichoma moto.
Ukimkuta huyo kuzimu utachoma moto mabaki, upo sawa kabisa.

Sasa sema ukimkuta kikulacho utafanyaje!.
 
Usijibizaje majinga utadhani hayajapita shule,yaani utawala wa CCM ulivyohatari zaidi ya shetani wawe na taarifa za kudhuliwa na mwenzao ndani ya chama nafikiri ndo wangeonesha dunia wanavyojua kushugulika na waharifu,,
Jifunze kuandika kwanza we punguani. Hebu soma tena post yako alafu useme kama kuna mtu atakae elewa ulicho andika.
 
Vipi Mwangosi, profesa Jwan, Dr Ulimboka au hao siyo binadamu?

Na vipi wengine siyo public figure wamepotea au na wenyewe sio binadamu?

Kuwa biased ndio tunaimaliza hii nchi?
Unaweza kufungua za hao wengine, make ni watanzania Kama wewe...waonee huruma au vp
 
Vipi Mwangosi, profesa Jwan, Dr Ulimboka au hao siyo binadamu?

Na vipi wengine siyo public figure wamepotea au na wenyewe sio binadamu?

Kuwa biased ndio tunaimaliza hii nchi?

Hizo unaweza kufungua wewe kumsaidia Maloto ila ametaja baadhi huenda na hao labda wapo kwenye list yake.

Aliyemuua Mwangosi anajulikana na alipandishwa mahakamani.

Aliyemteka Dr Ulimboka mbona Said Kubenea alimuweka wazi ni mtu wa Magogoni? Na hata Dr mwenyewe alimtambua.

Dr Jwan na Dr Mvungi ni issue za kesi/Ducuments ndiyo zilizowaondoa.
 
Pengine mwaka huu 2023 kila mtu na pia mhimili mmojawapo wa Dola mfano Mahakama zitavunja minyororo na kuwa huru

Let us wait and see!
 
Samia yupo atajibu kila Kilichofanyika awamu ya tano.

Baada ya Magufuli alikua yeye.

Anajua kila kitu.

Aulize na atoe majibu.
 
Back
Top Bottom