TANZIA Mwandishi Wa Habari, Vedasto Msungu afariki dunia

Mkuu pendekeza nini tufanye.

Usipayuke tu.
 
Mkuu pendekeza nini tufanye...
Usipayuke tu.
Mapendekezo tayari yapo kiongozi wangu, watalamu wa afya duniani kote wanaubiri ni sisi tu kujitia viburi. Kwani mwakajana tulichukua hatua gani mkuu!? Au na wewe unamini maombi ndio yaliondoa mdudu Tanzania hii!!?
 
Mapendekezo tayari yapo kiongozi wangu, watalamu wa afya duniani kote wanaubiri ni sisi tu kujitia viburi. Kwani mwakajana tulichukua hatua gani mkuu!? Au na wewe unamini maombi ndio yaliondoa mdudu Tanzania hii!!?
Basi tufanye hivyo.
 
Basi tufanye hivyo.
Kabisa kiongozi wangu. Mkuu wanchi au wizara usika inapaswa kua mstari wa mbele kwenye hili jambo. Juhudu za mwakajana zilizaa matunda na ndio sababu mkuu iliyotufanya tutembe kifua mbele.. nasio mapambio ya maombi
 
Msungu was a very humble person!! Last year nilisafiri nae from Dom to Moro!! Akaniambia makazi yake ni hapo Morogoro!!
Alikuwa mwandishi mahili na rafiki wa ukweli!!
RIP Vedasto Msungu!!!
[emoji120][emoji120]
 
Naomba huyu awe wa mwisho kwa leo maana nataka nifunge hesabu,mauzo ya leo yametia fora

Halafu mbona kama watu hawajali sana maana naona mikusanyiko kama yote,sio vijiwe vya kahawa,uji,bar,saloon nk;Ina maana watu wameamua kufuata ushauri wa mzee wetu wa kuondoa hofu,kusali sana,kupiga nyungu & kufanya sana kazi maana nchi jirani wamejifungia kwa zaidi ya mwaka mzima kwahiyo lazima tu watatutaka tuwauzie japo vibaba vya unga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…