Mwandishi wa habari wa Al Jazeera, Shireen Abu Akleh auawa akiwa katika majukumu yake ya kazi

Mwandishi wa habari wa Al Jazeera, Shireen Abu Akleh auawa akiwa katika majukumu yake ya kazi

hv Palestina wasingekuwa waanzisha choko choko , lini wangepoteza hilo eneo ? hv ww ukivamiwa halafu akatumia kisu ukimdhibit unamuachia hicho kisu ?
Kweli unachekesha ngoja kidogo nikuonyeshe. Tazama hii clip na ni kati ya mengi yanayoendelea huko palestina na hutokaa uyaone kwenye vyombo vikubwa.
 
Ili mradi ujustify tu.
Ikiwa Ukraine basi kelele. Some people are more humans than others...
Mkuu punguza ukilaza, Ukraine kashakifa mwandishi majuz tu ila watu wapo kimya, nyinyi wavaa kobaz mnatatizo kweli
 
Double standards hawa wapiga vigelegele uwa wanajitoa ufahamu. Na sheria za kuwalinda waandishi wa habari zipo. Hata eti fasta wanamwita spy.
Yani hii dunia hii we acha tu
kuna mwandishi Ukraine kafa acheni kujitoa akili , watu wapo kimya maana kajipeleka mwenyew kaona udaku mzur kuliko uhai
 
Taarifa imetangazwa na vyombo vyote vya magharibi, sasa unataka kulaani kupi tena
Tofautisha kutangaza na kulaani. Ingekuwa imetokea Ukraine akauwa mwandishi wa BBC ungesikia hayo mabeberu yanaunda hadi jopo la uchunguzi.

Na wewe hapa ungekuwa hapa unapiga kelele za kusema kila baya russia
 
Ingekuwa jeshi la russia ndiyo limefanya hivyo tungesikia kelele kila kona
lishafanya tayari ,ila watu wapo kimya , wavaa kobaz mna matatizo kwel , mnapenda kulialia
 
Ili mradi ujustify tu.
Ikiwa Ukraine basi kelele. Some people are more humans than others.
Angalia hii ramani, tena hiyo mwaka 1947 Israel walisaini mkataba wa kukubali hiyo ramani lakini ona leo wamechekua eneo lote na hata hayo makambi wanayataka.
Lakini husikii mkipiga keleleView attachment 2220316
Eneo lote hilo Israel walipewa na Mungu wao kwa mujibu wa maandiko na hata mababu zao walizikwa hapo kwa mujibu wa maandiko matakatifu.
 
mkuu punguza ukilaza , Ukraine kashakifa mwandishi majuz tu ila watu wapo kimya ,nyinyi wavaa kobaz mnatatizo kweli
Shida ndipo inaanzia hapa, unafikiri kila anayewatetea wapalestina ni Mwislamu.

Mimi ni mkatoliki wa kuzaliwa na sijawahi kana dhehebu langu mpaka leo.

Ila penye ukweli na usemwe. Muache double standards
 
Eneo lote hilo Israel walipewa na Mungu wao kwa mujibu wa maandiko na hata mababu zao walizikwa hapo kwa mujibu wa maandiko matakatifu.
Kwahiyo mtu akija kwako wewe hapo akakwambia hilo eneo lako amepewa na Mungu wake kwa mujibu wa maandiko yake na mababu zake wamezikwa hapo, utaondoka umwachie? Na majirani zako watamuunga muunga mkono?
 
Yaani eti anapeperusha live mapigano ya vita. Uhai kwanza hayo mambo mengine badae
hahaaa me nashangaa wanaomtetea wkt kajipeleka mwenyew , hata mm ningekuwa mwandish sifanyi huo ujinga
 
Haya ndio tunayosema kila siku, oooh Russia imevamia Ukraine watu wanakufa oooh sijui nini, ila wakifa Wapalestina basi ni sawa...
Hao walipoambiwa wagawane miaka ile ya 1948 wakataka wapewe chote.

Wakasaidiwa na marafiki zao kumpiga muisrael, wakapigwa wote.

Sasa ndio wanalia wapewe chao. Wao wangewashinda waisrael wangewagaia?
 
Binadamu akiamua kuchagua upande Fulani wa kusimamia,hata umwambie nini hawezi kukuelewa..hao jamaa kila kitu wanaona Sawa tu kwa sababu waliofanyiwa hiko kitendo ni Al-Jazeera
mbona huko Ukraine kauliwa , umeona mtu analia , wavaa kobaz mnakatatizo kichwani ,hata ww usingeweza kwenda kupeperusha habari sehemu yenye makabiliano ila upo hapa kutetea ujinga
 
Hao walipoambiwa wagawane miaka ile ya 1948 wakatoka wapewe chote
Ingelikuwa wewe ungekubali? Kwahiyo pia ni sawa Israel kuchukua eneo lote nje ya mkataba iliosani mwaka 1947. Ndio maana UN haina maana tu
 
Ingelikuwa wewe ungekubali? Kwahiyo pia ni sawa Israel kuchukua eneo lote nje ya mkataba iliosani mwaka 1947. Ndio maana UN haina maana tu
Hilo Eneo Palestine walilipataga vipi?
 
Kweli unachekesha ngoja kidogo nikuonyeshe. Tazama hii clip na ni kati ya mengi yanayoendelea huko palestina na hutokaa uyaone kwenye vyombo vikubwa.

ndio maana nakuuliza kama wasingekuwa wanaanza kushambulia waisrael lin wangepoteza hayo makazi yao ?

raia wapumbav sana wanatumika kufanya mashambuliz dhidi ya waisrael halaf unategemea ukidhibitiwa hayo maeneo uachiwe ili urudi tena kushambulia ?

tangu 1948 Israel ilipotaka kuundwa wapalestine walipewa ofa ya kuunda nchi moja na waisrael ila ubaguz wao na umimi umewafanya mpk leo wenzae wamekuwa moja kati ya mataifa makubwa na imara ASAI huku wao wakiwa wakutanga tanga tu , kwa akili za wapalestina basi na sisi huku tuanze kuwatimua hawa waarabu , wahindi na wachina walitapakaa huku k/koo maana hapa ni kwetu , si ndo mnataka tuishi kinamna hiyo ? au wale makaburu wa afrika kusini watimuliwe ?

au wale watu weusi wa amerika na ulaya watimuliwe ? WAPALESTINE NI WABAGUZI NA UBAGUZI WAO NDIO UNAWATESA SIKU WAKISTUKA NA KUTAMBUA SISI WOTE NI WAMOJA BASI WATAISHI VIZURI SANA MAANA MALENGO YAO NI VIGIMU KWA DUNIA YA LEO TUMEINGILIANA SANA NA HAKUNA MWENYE ENEO TENA
 
Wakulaumiwa ni Al Jazeera, unaenda kufanya ripoti mahali kuna oparesheni inaendelea. Hii kiherehere ya kutaka kuoneka unapeperusha live kutoka vitani itawaponza hawa wanahabari.
Ndio maana tunasuport Urusi kuendelea na operations zake kuuwa magaidi manaa hatutaki unafiq, tena msitupangie kusema tuwaonelee huruma Nato wanavyopewa kichapo Ukraine
 
Tofautisha kutangaza na kulaani. Ingekuwa imetokea Ukraine akauwa mwandishi wa BBC ungesikia hayo mabeberu yanaunda hadi jopo la uchunguzi.
Na wewe hapa ungekuwa hapa unapiga kelele za kusema kila baya russia
we kilaza , huko Ukraine yupo mwandishi kauliwa mlikuwa kimya na sisi tulikuwa kimya maana aliona udaku mzuri kuliko uhai , so tutulie tuendele mung'unya ubuyu huu
 
Back
Top Bottom