Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Kweli unachekesha ngoja kidogo nikuonyeshe. Tazama hii clip na ni kati ya mengi yanayoendelea huko palestina na hutokaa uyaone kwenye vyombo vikubwa.hv Palestina wasingekuwa waanzisha choko choko , lini wangepoteza hilo eneo ? hv ww ukivamiwa halafu akatumia kisu ukimdhibit unamuachia hicho kisu ?