Mwandishi wa habari wa Al Jazeera, Shireen Abu Akleh auawa akiwa katika majukumu yake ya kazi

Mwandishi wa habari wa Al Jazeera, Shireen Abu Akleh auawa akiwa katika majukumu yake ya kazi

acha kuelezea vitu nusu nusu , ebu tuambie ilikuaje mpk kufikia huko ? nyiny teamKobaz huwa mahaba mengi kuliko uhalisia
Unaona, umejaa chuki mara team kobaz mara team sijui nini. Nenda kwenye jukwaa la historia kuna thread nimeandika kuhusu huo mgogoro link hii hapa
 
kikubwa umeelewa hata Ukraine yupo mwandisho kafa so punguza kelele za kinafiki , mwandishi lazima atambue uhai wake ni bora kuliko buku 5 anayolipwa , uhai haununuliw , usipolitambua hilo bas huna tofauti na kichaa , maana unapewa kinga ya maneno tu
Huu ushabiki wenu mnajitoa sana ufahamu. Free yourself from mental slavery.
 
Haya ndio tunayosema kila siku, oooh Russia imevamia Ukraine watu wanakufa oooh sijui nini, ila wakifa Wapalestina basi ni sawa. Usichokijua na huenda unakijua ila ndio basi hutaki kujali, Israel imejimegea karibu eneo lote la Palestina hata lile walilopewa kwenye mkata uliandaliwa na Umoja wa mataifa. Wapalestina wanaishi kwenye makambi makambi nayo bado anayataka.
Tatizo wao wapalestina wanaamini katika fujo.
Huwezi kuelewa haya wewe unayesimuliwa.
Mpalestina mtaani anaweza kumrushia jiwe askari wa Israel bila sababu.
Hawa jamaa ni watata na hawatumiagi akili.
Dini imewalemaza.
Ninaamini wasingekuwa na fujo na vurugu wangechangamana na Israel bila tatizo na hata madai yao yangetatuliwa.
Umewahi kufika Israel?

Ili usiwe unaegemea upande mmoja siku moja jilipue ukatembee kule $1500 inakitosha kwenda na kurudi pamoja na malazi.
Hizo ziara ni nyingi na mwaka huu Disemba ipo.
 
Kwa hiyo inafaa raia wote wa Ukraine waikimbie nchi Russia waichukue maana wakifa ni shauri yao au sio.
kwan waukraine ni waandishi wa habari ? au wapo ukraine kuripoti habari ? jifunze kutoa mifano relevant , Mwandishi katoka sehemu salama kaenda na kamera yake sehemu isiyo salama , unataka mapigano yasimame kusubir amalize kuripoti habari ? kwan umewai ona lin mwandishi anaripoti sehem hatari km hiyo ?
 
unataka point gan ? maana lengo la hiyo kauli ni kuwa Wapalestine wapo ila nchi ya palestine haipo so wapalestine wanapigania nn
Tanzania ilikuwepo hapo kabla? Pakistan ilikuwepo? Kuna nchi ngapi simezaliwa hivi karibuni mfano South Sudan? Arguement nyingine za kitoto sana
 
Wewe ndio hujasoma historia hata mgogoro huujui. Hujui kuwa hata aliyeita hilo eneo Palestina ni Mwingereza. Hujui Waisrel walipoanza kurudi pale walipokelewa vizuri tu ika wakaja na itikadi yao ya Zionist ndio mgogoro ukaanza hadi Uingereza ikaanza wazuia kuendelea kurudi pale.
Kasome historia na uisome ukiwa umeweka race na dini pembeni. Stick to the facts.
Arguement zenu ni sawa mtu aje aseme leo hoi wangoni wanaweza rudi S.A wadai ardhi ambayo shaka aliwatimua
narudia tena ww umeanzia juz tu kuisoma hiyo sehemu , acha ubishi kasome vita vya msalaba mwekundu ndo utaelewa hilo eneo la nani ! ACHA UBISHI , HUNUFAIKI NA CHOCHOTE KWA KUKAZA FUVU , SOMA UJIONGEZEE MAARIFA
 
Tatizo wao wapalestina wanaamini katika fujo.
Huwezi kuelewa haya wewe unayesimuliwa.
Mpalestina mtaani anaweza kumrushia jiwe askari wa Israel bila sababu.
Hawa jamaa ni watata na hawatumiagi akili.
Dini imewalemaza.
Ninaamini wasingekuwa na fujo na vurugu wangechangamana na Israel bila tatizo na hata madai yao yangetatuliwa.
Umewahi kufika Israel?

Ili usiwe unaegemea upande mmoja siku moja jilipue ukatembee kule $1500 inakitosha kwenda na kurudi pamoja na malazi.
Hizo ziara ni nyingi na mwaka huu Disemba ipo.
Na wewe hujajipa muda wa kusoma huo mgogoro. Ukinyanganywa ardhi yako na dunia imefumba macho unadhani utumie nini kijitetea? Nimeweka ramani tazama eneo lote ililochukua Israel na hiyo ramani ya mwisho ni ya 2010 leo wanaishi tu kwenye makambi.
Vaa viatu vya Wapalestina ingelikuwa wewe na kizazi chako ungekubali?
Jiulize, hivi inawezekana Wangoni leo warudi S.A wawatoe watakaowakuta pale kwenye walilokuwa wanakaa kabla ya kufurushwa na shaka zulu?
 
Kweli unachekesha ngoja kidogo nikuonyeshe. Tazama hii clip na ni kati ya mengi yanayoendelea huko palestina na hutokaa uyaone kwenye vyombo vikubwa.
Sasa wamiliki wa Youtube ni kina nani kama si hao hao Mabeberu? Kama wangetaka usione hata huko youtube unadhani wangeshindwa?
 
kwan waukraine ni waandishi wa habari ? au wapo ukraine kuripoti habari ? jifunze kutoa mifano relevant , Mwandishi katoka sehemu salama kaenda na kamera yake sehemu isiyo salama , unataka mapigano yasimame kusubir amalize kuripoti habari ? kwan umewai ona lin mwandishi anaripoti sehem hatari km hiyo ?
Hujaelewa point ni kwamba si mtu anaona vita anakaa, so ukiona vita kimbia ukikaa ukafa kosa lako tu.
Kuna sheria za kimataifa za kuwalinda waandishi wa habari ndio maana wanakuwa mstari wa mbele.kureport kinachoendelea. Bila shaka huyu kauawa kwakuwa Israel uwa haitako watu waone inachokifanya pale palestina
 
Sasa wamiliki wa Youtube ni kina nani kama si hao hao Mabeberu? Kama wangetaka usione hata huko youtube unadhani wangeshindwa?
Hivi na hii ni point? Ongelea content ya video sio mmiliki wa Youtube
 
Nimekuwekea ramani inayoonyesha ramani ya palestina ilivyokuwa before, baada ya ya UN plan mpaka ya mwaka 2020. Leo ni 2022 eneo washachukua zaidi. Kama huamini tafta ramani nyingine mwenyewe uzuri sources ni nyingi.
Sema kwakuwa hutaki kuuona ukweli huwezi kutafta
bwana NAFAKA , hutulii na hoja moja , ebu ukiulizwa kitu jibu km kilivyo ( kama huna jibu sema usaidiwe ) then lete stori nyingine , MALIZA JAMBO MOJA NDO UHAMIE KWINGINE , UNAULIZWA MKASA ULIOPELEKEA ISRAEL KUWARUHUSU RAIA WAKE KUDAI MAENEO YA WAPALESTINA , UNAJIBU MASWALA YA RAMANI , SASA RAMANI NA MKASA VINA UHUSIANO GANI BWANA MALIGHAFI ?
 
Umeomba historia nimekupa link, umeisoma? Ni kitu ambacho nimewahi kuandika zaidi ya page unataka nirudie, nimekupa link kasome halafu ukiona nimedanganya rudi hapa nionyeshe nilipoongopa.
 
Kwa comment hii inaonyesha wazi kabisa kua unachangia mada kwa ushabiki wa kidini.
nyinyi ndo mna udini , kati ya uhai na udaku kipi kina thamani kwako ? vitu vingine haviitaji usome masters ili kuvielewa
 
Unaona, umejaa chuki mara team kobaz mara team sijui nini. Nenda kwenye jukwaa la historia kuna thread nimeandika kuhusu huo mgogoro link hii hapa
hv wapalestina wangekubali kugawana hilo eneo nusu nusu wangepungukiwa nini ? je wangetulia bila kuwa wanawavamia waisrael wangepungukiwa nini ?
 
Ili mradi ujustify tu.
Ikiwa Ukraine basi kelele. Some people are more humans than others.
Angalia hii ramani, tena hiyo mwaka 1947 Israel walisaini mkataba wa kukubali hiyo ramani lakini ona leo wamechekua eneo lote na hata hayo makambi wanayataka.
Lakini husikii mkipiga keleleView attachment 2220316

Hii Ndio itakavyokuja kuwa Africa vs China baada ya miaka ijayo mbele Mungu atulinde
 
Back
Top Bottom