4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
sijaona hoja yako yyte kwenye hiyo reply yako , km huna hoja unasema sio kuanza kushambulia personality ya mtuHuu ushabiki wenu mnajitoa sana ufahamu. Free yourself from mental slavery.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijaona hoja yako yyte kwenye hiyo reply yako , km huna hoja unasema sio kuanza kushambulia personality ya mtuHuu ushabiki wenu mnajitoa sana ufahamu. Free yourself from mental slavery.
Hivi unajua kwamba mapigano mengi huanza Israel itapovamoa kambi za Palestina? Na ni kwanini Israel iendelee kumega eneo wakati yenyewe ilikubali plan ya UN? Huona kama inakiuka mkataba aliutia saini? Hebu labda nikuulize, Israel ikishachukua eneo lote, wapalestina wakaishi wapi au wao sio binadamu?hv wapalestina wangekubali kugawana hilo eneo nusu nusu wangepungukiwa nini ? je wangetulia bila kuwa wanawavamia waisrael wangepungukiwa nini ?
lin umewai ona habari uwanja wa mtanange mbali na huko Ukraine ambapo baada ya mwandishi kufa , waandishi wamekoma kufanya hivyoUnafikiri kuwa mwanahabari ni kukaa vijiweni. Taarifa inatafutwa kwa damu na jasho.
Tambua taarifa hizo pia huwa wanaziuza na kupiga hela ndefu. Hiyo ni ajali kazini tuu
mjomba Nchi inaitwa Palestine haikwepo na haipo mpk ss hv , Je Tanzania haipo na South Sudan ? ndio maana nakuuliza wapalestina wanapigania nini ?Tanzania ilikuwepo hapo kabla? Pakistan ilikuwepo? Kuna nchi ngapi simezaliwa hivi karibuni mfano South Sudan? Arguement nyingine za kitoto sana
kwanini walipokonywa hayo maeneo ? sababu unazijua ila umekaza akili unakwepa kujibuNa wewe hujajipa muda wa kusoma huo mgogoro. Ukinyanganywa ardhi yako na dunia imefumba macho unadhani utumie nini kijitetea? Nimeweka ramani tazama eneo lote ililochukua Israel na hiyo ramani ya mwisho ni ya 2010 leo wanaishi tu kwenye makambi.
Vaa viatu vya Wapalestina ingelikuwa wewe na kizazi chako ungekubali?
Jiulize, hivi inawezekana Wangoni leo warudi S.A wawatoe watakaowakuta pale kwenye walilokuwa wanakaa kabla ya kufurushwa na shaka zulu?
Wewe umesema hii taarifa huwezi iona kwa vyombo vya hao wa western na unaleta link ya Youtube,swali ni simple tu,Youtube ni ya akina nani mpaka wewe ukaweza kuiona,kama wangetaka usiione si wangeizuia.Btw hii clip wala si ngeni ni ya siku nyingi,hakuna jipya,huu ugomvi wa majirani kugombea mipaka hata kwetu hapa upo.Kuna nini unique katika hiyo clip,au hapa hakuna ugomvi wa majirani kugombea mipaka ya viwanja?Hivi na hii ni point? Ongelea content ya video sio mmiliki wa Youtube
tofautisha vita kukufuata na kuifuata vita , Hao ni waukraine wapo nchini kwao so hawana pengine pa kwenda ila huyo mwandishi mpuuz ni haki yake kufa kwann asingesubir mapigano yatulie , Je asingepata habari ? Huyo mwandishi katoka huko kaenda eneo lenye mapigano halafu unataka watu watulie kusubir umalize kuripoti udaku si ndio ?Hujaelewa point ni kwamba si mtu anaona vita anakaa, so ukiona vita kimbia ukikaa ukafa kosa lako tu.
Kuna sheria za kimataifa za kuwalinda waandishi wa habari ndio maana wanakuwa mstari wa mbele.kureport kinachoendelea. Bila shaka huyu kauawa kwakuwa Israel uwa haitako watu waone inachokifanya pale palestina
kakujibu maana umesema hawataki nione , so kakukmbusha unaowananga ndo wanamiliki hiyo app unayotumia kusambaza propaganda zenuHivi na hii ni point? Ongelea content ya video sio mmiliki wa Youtube
Kwahiyo hiyo ramani ya UN iliyogawa Israel na Palestina ni fake? Hata ingekuwa inaitwa JF, wanachodai wapalestina ni ardhi whether inaitwa jina lolote. Kwanini Waisrael wageme ardhi yao. Haya mambo ya nchi zinaundea kila siku tu hata sisi hatukuwa na mipaka ikawekwa tu.mjomba Nchi inaitwa Palestine haikwepo na haipo mpk ss hv , Je Tanzania haipo na South Sudan ? ndio maana nakuuliza wapalestina wanapigania nini ?
KuWa nchi?
b) Kuiondoa Israel hapo mashariki ya kati ?
c) Kurudisha maeneo yao ?
d) Kuwameza waisrael wasiwe na ushawishi hapo mashariki ya kati
JIFUNZE KUELEWA SWALI NDUGU
Reporters ndio kazi yao na sheria za kuwalinda zipo. Hatutegemei nchi kama Israel iwashambulie, wangekuwa wameshambuliwa na Boko Haram, Alshabaab labda tungesema ni makundi ya magenge yasiyofuata sheria, au na wewe unagaka kusema Israel haifuati sheria za kimataifa?tofautisha vita kukufuata na kuifuata vita , Hao ni waukraine wapo nchini kwao so hawana pengine pa kwenda ila huyo mwandishi mpuuz ni haki yake kufa kwann asingesubir mapigano yatulie , Je asingepata habari ? Huyo mwandishi katoka huko kaenda eneo lenye mapigano halafu unataka watu watulie kusubir umalize kuripoti udaku si ndio ?
Bwana Malighafi utachanganyikiwa bure kwa kusapoti wajinga ( Wapalestine ) , ukute hata ww hawakutaki ukaishi hapo wanapopadaiUmeomba historia nimekupa link, umeisoma? Ni kitu ambacho nimewahi kuandika zaidi ya page unataka nirudie, nimekupa link kasome halafu ukiona nimedanganya rudi hapa nionyeshe nilipoongopa.
Huwezi kuona kwenye vyombo vya kimataifa. Youtube hata wewe unaweza pandisha video. Lakini ili habari isambae na watu waijue, inaruka kwenye vyombo vya kimataifa vya habari kama ambavyo habari za Ukraine zinavyopewa promo.Wewe umesema hii taarifa huwezi iona kwa vyombo vya hao wa western na unaleta link ya Youtube,swali ni simple tu,Youtube ni ya akina nani mpaka wewe ukaweza kuiona,kama wangetaka usiione si wangeizuia.Btw hii clip wala si ngeni ni ya siku nyingi,hakuna jipya,huu ugomvi wa majirani kugombea mipaka hata kwetu hapa upo.Kuna nini unique katika hiyo clip,au hapa hakuna ugomvi wa majirani kugombea mipaka ya viwanja?
Sasa hoja yako ni nini? Mbona wewe hujaenda kuishi Ukraine? Hoja hapa ni kwamba kila mtu apewe haki si watu wachache wanapokonya haki ya wengine halafu watu mnashangilia. Wapalestina sio wajinga walau kwa miaka yote wanapigania haki yao. Wajinga ni watu ambao hawapiganii haki yaoBwana Malighafi utachanganyikiwa bure kwa kusapoti wajinga ( Wapalestine ) , ukute hata ww hawakutaki ukaishi hapo wanapopadai
acha kudanganya watu wazima bwana MALIGHAFI , Wpalestina mara,zote huanza kushambulia waisrarl kisha waisrael huwashushia wapalestina kitu kizito , kinachofuata ni wavaa kobaz kuzunguka duniani wakipiga mayowe tunaonewaHivi unajua kwamba mapigano mengi huanza Israel itapovamoa kambi za Palestina? Na ni kwanini Israel iendelee kumega eneo wakati yenyewe ilikubali plan ya UN? Huona kama inakiuka mkataba aliutia saini? Hebu labda nikuulize, Israel ikishachukua eneo lote, wapalestina wakaishi wapi au wao sio binadamu?
Unaweza kuargue pasipo kutumia maneno ya kuudhi? Kuna sehemu nimekuita jina baya? Jihabarishe... Anayepokonya eneo la mwenzake nani? Au hizo ramani ni za uongo? Sasa utasemaje anayepokonywa eneo ndiye mchokozi?acha kudanganya watu wazima bwana MALIGHAFI , Wpalestina mara,zote huanza kushambulia waisrarl kisha waisrael huwashushia wapalestina kitu kizito , kinachofuata ni wavaa kobaz kuzunguka duniani wakipiga mayowe tunaonewa
Next time jitahidi watu wasijue kuwa wewe ni MjingaMtu unaona kabisa hapa Kuna vita halafu wewe unajipeleka na camera zako..
Kama habari ina uzito mkubwa itapewa coverage lakini kwa mfano wako wa hii clip hii ni habari ndogo sana ya watu wawili majirani wanagombea mipaka ya ardhi kwanini ipate coverage kubwa.Pengine ulete habari kubwa yenye uzito ambayo imekuwa neglected na hivyo vyombo hapo utaeleweka.Huwezi kuona kwenye vyombo vya kimataifa. Youtube hata wewe unaweza pandisha video. Lakini ili habari isambae na watu waijue, inaruka kwenye vyombo vya kimataifa vya habari kama ambavyo habari za Ukraine zinavyopewa promo.
Nadhani you got my point. Hizi habari za Youtube ni wachache wanaziona
Kwahiyo watu kunyanganya ardhi, kuuawa huko palestina haina uzito mkubwa kama raisi wa ukraine kumpa nishani mbwa 🤣.Kama habari ina uzito mkubwa itapewa coverage lakini kwa mfano wako wa hii clip hii ni habari ndogo sana ya watu wawili majirani wanagombea mipaka ya ardhi kwanini ipate coverage kubwa.Pengine ulete habari kubwa yenye uzito ambayo imekuwa neglected na hivyo vyombo hapo utaeleweka.
vijana fanyeni kazi acheni kubishana na vitu ambayvo haviwasadii duniani hakuna haki wapo sahara magharibi wamechukuliwa ardhi yao wanaishii kwenye makambi kuna west Papua,Ukraine, nchi nyingi tu kifupi ukipoteza ardhi kwenye vita huwa hairudi tena hiyo unatakiwa kuichukua kwa vita tena.Huwezi kuona kwenye vyombo vya kimataifa. Youtube hata wewe unaweza pandisha video. Lakini ili habari isambae na watu waijue, inaruka kwenye vyombo vya kimataifa vya habari kama ambavyo habari za Ukraine zinavyopewa promo.
Nadhani you got my point. Hizi habari za Youtube ni wachache wanaziona
Basi hizi kelele za Russia kumtandika Ukraine tusingekuwa tunazisikiavijana fanyeni kazi acheni kubishana na vitu ambayvo haviwasadii duniani hakuna haki wapo sahara magharibi wamechukuliwa ardhi yao wanaishii kwenye makambi kuna west Papua,Ukraine, nchi nyingi tu kifupi ukipoteza ardhi kwenye vita huwa hairudi tena hiyo unatakiwa kuichukua kwa vita tena.