Mwandishi wa habari wa Al Jazeera, Shireen Abu Akleh auawa akiwa katika majukumu yake ya kazi

Mwandishi wa habari wa Al Jazeera, Shireen Abu Akleh auawa akiwa katika majukumu yake ya kazi

Unaweza kuargue pasipo kutumia maneno ya kuudhi? Kuna sehemu nimekuita jina baya? Jihabarishe... Anayepokonya eneo la mwenzake nani? Au hizo ramani ni za uongo? Sasa utasemaje anayepokonywa eneo ndiye mchokozi?
sorry nlizan.Nafaka ni malighafi , back on topic : chanzo cha kupokonywa si wao kulenga kupokonya maeneo ya Israel ? , Ni mara ngap wamejinadi kutaka kuifuta taifa la Israel ? au wanataka kufuta israel iliyochorwa tu ?
 
Kwahiyo watu kunyanganya ardhi, kuuawa huko palestina haina uzito mkubwa kama raisi wa ukraine kumpa nishani mbwa [emoji1787].
Ndio maana nasema some people are more humans than others
unaleta fujo ukirudishiwa fujo , unaanza kelele , hiyo inaitwa mkanye mwanao
 
Ili mradi ujustify tu.
Ikiwa Ukraine basi kelele. Some people are more humans than others.
Angalia hii ramani, tena hiyo mwaka 1947 Israel walisaini mkataba wa kukubali hiyo ramani lakini ona leo wamechekua eneo lote na hata hayo makambi wanayataka.
Lakini husikii mkipiga keleleView attachment 2220316
Bila ya US na ISRA HELL
hii DUNIA ingekua mahala salama mnoooo
 
Kazi ya uandishi wa habari ni hatari sana,maana ukiwa unatokea upande wowote wa wanaopigana.....maadui watajua wewe Kuna vingine umetumwa tu.....bora asingekuwa Mpalestine.......
 
Kwahiyo watu kunyanganya ardhi, kuuawa huko palestina haina uzito mkubwa kama raisi wa ukraine kumpa nishani mbwa [emoji1787].
Ndio maana nasema some people are more humans than others
Kwa hiyo clip kuna mtu kauwawa? Hivi ugomvi wako wewe na jirani yako huwa unapewa coverage na ITV? Ndiyo maana nikasema leta habari yenye uzito kweli ambayo ilipuuzwa kupewa coverage.Unaonekana huna ndiyo maana umeshindwa kuweka hapa.
 
Hivi kumbe kamdada kale kana miaka 51 mingi ivo duuuu!
 
Halafu hii kazi naipenda ni basi tu...hivi nifanyeje wadau.....
 
mbona Urusi kaua mwandishi ila tupo kimya sababu lzm mtu uheshimu uhai wako , buku tano isikutoe uchiz uingie front kurepoti wakati wakulungwa wanazitwanga
Mpo kimya?? Nyinyi sindio mnalialia kilasiku na propaganda zenu za urongo na nyuzi zenu kuhusu Urusi? Tena urusi hao anaowauwa si waandishi wa habari bali ni majeshi ya Nato yanayovaa gwanda wakirekodiwa wakitoa habari za uzushi ktk vyombo vya habari, Yule mdada alieuliwa leo ni muandishi official wa Al-Jazeera
 
Unaweza kuargue pasipo kutumia maneno ya kuudhi? Kuna sehemu nimekuita jina baya? Jihabarishe... Anayepokonya eneo la mwenzake nani? Au hizo ramani ni za uongo? Sasa utasemaje anayepokonywa eneo ndiye mchokozi?
Mwanangu unabishana na kilaza wanaojitoa ufahamu
 
Sasa mbna mnalia lia RUSSIA akiwa anachukua eneo lake takatifu toka kwa wanazk pale UKRAINE alopewa na Mungu wake !!!??
Hizi ndudu haziwezi kujibu maswali kama haya, ukiwapiga quiz kama hizi wanabaki kuchachawa, ndio ujue wanaushabiki maandazi
 
Kazi ya uandishi wa habari ni hatari sana,maana ukiwa unatokea upande wowote wa wanaopigana.....maadui watajua wewe Kuna vingine umetumwa tu.....bora asingekuwa Mpalestine.......
Ni mpalestina muamerika. Embassy ya America imeitisha uchunguzi huru ufanywe..
 
Kama habari ina uzito mkubwa itapewa coverage lakini kwa mfano wako wa hii clip hii ni habari ndogo sana ya watu wawili majirani wanagombea mipaka ya ardhi kwanini ipate coverage kubwa.Pengine ulete habari kubwa yenye uzito ambayo imekuwa neglected na hivyo vyombo hapo utaeleweka.
Wakiristo kuliko ww hao wanaskitika, ww huku unapinga, ujinga ni ugonjwa wa akili
20220511_145532.jpg
 
Back
Top Bottom