4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
sorry nlizan.Nafaka ni malighafi , back on topic : chanzo cha kupokonywa si wao kulenga kupokonya maeneo ya Israel ? , Ni mara ngap wamejinadi kutaka kuifuta taifa la Israel ? au wanataka kufuta israel iliyochorwa tu ?Unaweza kuargue pasipo kutumia maneno ya kuudhi? Kuna sehemu nimekuita jina baya? Jihabarishe... Anayepokonya eneo la mwenzake nani? Au hizo ramani ni za uongo? Sasa utasemaje anayepokonywa eneo ndiye mchokozi?