Mwandishi wa habari wa Al Jazeera, Shireen Abu Akleh auawa akiwa katika majukumu yake ya kazi

Huu ushabiki wenu mnajitoa sana ufahamu. Free yourself from mental slavery.
sijaona hoja yako yyte kwenye hiyo reply yako , km huna hoja unasema sio kuanza kushambulia personality ya mtu
 
hv wapalestina wangekubali kugawana hilo eneo nusu nusu wangepungukiwa nini ? je wangetulia bila kuwa wanawavamia waisrael wangepungukiwa nini ?
Hivi unajua kwamba mapigano mengi huanza Israel itapovamoa kambi za Palestina? Na ni kwanini Israel iendelee kumega eneo wakati yenyewe ilikubali plan ya UN? Huona kama inakiuka mkataba aliutia saini? Hebu labda nikuulize, Israel ikishachukua eneo lote, wapalestina wakaishi wapi au wao sio binadamu?
 
Unafikiri kuwa mwanahabari ni kukaa vijiweni. Taarifa inatafutwa kwa damu na jasho.
Tambua taarifa hizo pia huwa wanaziuza na kupiga hela ndefu. Hiyo ni ajali kazini tuu
lin umewai ona habari uwanja wa mtanange mbali na huko Ukraine ambapo baada ya mwandishi kufa , waandishi wamekoma kufanya hivyo
 
Tanzania ilikuwepo hapo kabla? Pakistan ilikuwepo? Kuna nchi ngapi simezaliwa hivi karibuni mfano South Sudan? Arguement nyingine za kitoto sana
mjomba Nchi inaitwa Palestine haikwepo na haipo mpk ss hv , Je Tanzania haipo na South Sudan ? ndio maana nakuuliza wapalestina wanapigania nini ?

KuWa nchi?
b) Kuiondoa Israel hapo mashariki ya kati ?
c) Kurudisha maeneo yao ?
d) Kuwameza waisrael wasiwe na ushawishi hapo mashariki ya kati

JIFUNZE KUELEWA SWALI NDUGU
 
Na wewe hujajipa muda wa kusoma huo mgogoro. Ukinyanganywa ardhi yako na dunia imefumba macho unadhani utumie nini kijitetea? Nimeweka ramani tazama eneo lote ililochukua Israel na hiyo ramani ya mwisho ni ya 2010 leo wanaishi tu kwenye makambi.
Vaa viatu vya Wapalestina ingelikuwa wewe na kizazi chako ungekubali?
Jiulize, hivi inawezekana Wangoni leo warudi S.A wawatoe watakaowakuta pale kwenye walilokuwa wanakaa kabla ya kufurushwa na shaka zulu?
kwanini walipokonywa hayo maeneo ? sababu unazijua ila umekaza akili unakwepa kujibu
 
Hivi na hii ni point? Ongelea content ya video sio mmiliki wa Youtube
Wewe umesema hii taarifa huwezi iona kwa vyombo vya hao wa western na unaleta link ya Youtube,swali ni simple tu,Youtube ni ya akina nani mpaka wewe ukaweza kuiona,kama wangetaka usiione si wangeizuia.Btw hii clip wala si ngeni ni ya siku nyingi,hakuna jipya,huu ugomvi wa majirani kugombea mipaka hata kwetu hapa upo.Kuna nini unique katika hiyo clip,au hapa hakuna ugomvi wa majirani kugombea mipaka ya viwanja?
 
Hujaelewa point ni kwamba si mtu anaona vita anakaa, so ukiona vita kimbia ukikaa ukafa kosa lako tu.
Kuna sheria za kimataifa za kuwalinda waandishi wa habari ndio maana wanakuwa mstari wa mbele.kureport kinachoendelea. Bila shaka huyu kauawa kwakuwa Israel uwa haitako watu waone inachokifanya pale palestina
tofautisha vita kukufuata na kuifuata vita , Hao ni waukraine wapo nchini kwao so hawana pengine pa kwenda ila huyo mwandishi mpuuz ni haki yake kufa kwann asingesubir mapigano yatulie , Je asingepata habari ? Huyo mwandishi katoka huko kaenda eneo lenye mapigano halafu unataka watu watulie kusubir umalize kuripoti udaku si ndio ?
 
Hivi na hii ni point? Ongelea content ya video sio mmiliki wa Youtube
kakujibu maana umesema hawataki nione , so kakukmbusha unaowananga ndo wanamiliki hiyo app unayotumia kusambaza propaganda zenu
 
mjomba Nchi inaitwa Palestine haikwepo na haipo mpk ss hv , Je Tanzania haipo na South Sudan ? ndio maana nakuuliza wapalestina wanapigania nini ?

KuWa nchi?
b) Kuiondoa Israel hapo mashariki ya kati ?
c) Kurudisha maeneo yao ?
d) Kuwameza waisrael wasiwe na ushawishi hapo mashariki ya kati

JIFUNZE KUELEWA SWALI NDUGU
Kwahiyo hiyo ramani ya UN iliyogawa Israel na Palestina ni fake? Hata ingekuwa inaitwa JF, wanachodai wapalestina ni ardhi whether inaitwa jina lolote. Kwanini Waisrael wageme ardhi yao. Haya mambo ya nchi zinaundea kila siku tu hata sisi hatukuwa na mipaka ikawekwa tu.
Wapalestina wanapigania ardhi yao hilo ndilo wanalopigania.
Nimekwambia na narudia kukwambia, Waisrael walipoanza kurudi, wapalestina hawakuwa na shida nao kabisa mpaka walipoanza itikadi zao za zionism. Kipindi hicho hilo eneo alikuwa analitawala Mwingereza, alipoona migogoro imezidi akaanza wazuia waisrael kuendelea kurudi. Hata hilo taifa la Israel limetengenezwa baada ya vita ya pili ya dunia.
 
tofautisha vita kukufuata na kuifuata vita , Hao ni waukraine wapo nchini kwao so hawana pengine pa kwenda ila huyo mwandishi mpuuz ni haki yake kufa kwann asingesubir mapigano yatulie , Je asingepata habari ? Huyo mwandishi katoka huko kaenda eneo lenye mapigano halafu unataka watu watulie kusubir umalize kuripoti udaku si ndio ?
Reporters ndio kazi yao na sheria za kuwalinda zipo. Hatutegemei nchi kama Israel iwashambulie, wangekuwa wameshambuliwa na Boko Haram, Alshabaab labda tungesema ni makundi ya magenge yasiyofuata sheria, au na wewe unagaka kusema Israel haifuati sheria za kimataifa?
 
Umeomba historia nimekupa link, umeisoma? Ni kitu ambacho nimewahi kuandika zaidi ya page unataka nirudie, nimekupa link kasome halafu ukiona nimedanganya rudi hapa nionyeshe nilipoongopa.
Bwana Malighafi utachanganyikiwa bure kwa kusapoti wajinga ( Wapalestine ) , ukute hata ww hawakutaki ukaishi hapo wanapopadai
 
Wewe umesema hii taarifa huwezi iona kwa vyombo vya hao wa western na unaleta link ya Youtube,swali ni simple tu,Youtube ni ya akina nani mpaka wewe ukaweza kuiona,kama wangetaka usiione si wangeizuia.Btw hii clip wala si ngeni ni ya siku nyingi,hakuna jipya,huu ugomvi wa majirani kugombea mipaka hata kwetu hapa upo.Kuna nini unique katika hiyo clip,au hapa hakuna ugomvi wa majirani kugombea mipaka ya viwanja?
Huwezi kuona kwenye vyombo vya kimataifa. Youtube hata wewe unaweza pandisha video. Lakini ili habari isambae na watu waijue, inaruka kwenye vyombo vya kimataifa vya habari kama ambavyo habari za Ukraine zinavyopewa promo.
Nadhani you got my point. Hizi habari za Youtube ni wachache wanaziona
 
Bwana Malighafi utachanganyikiwa bure kwa kusapoti wajinga ( Wapalestine ) , ukute hata ww hawakutaki ukaishi hapo wanapopadai
Sasa hoja yako ni nini? Mbona wewe hujaenda kuishi Ukraine? Hoja hapa ni kwamba kila mtu apewe haki si watu wachache wanapokonya haki ya wengine halafu watu mnashangilia. Wapalestina sio wajinga walau kwa miaka yote wanapigania haki yao. Wajinga ni watu ambao hawapiganii haki yao
 
Hivi unajua kwamba mapigano mengi huanza Israel itapovamoa kambi za Palestina? Na ni kwanini Israel iendelee kumega eneo wakati yenyewe ilikubali plan ya UN? Huona kama inakiuka mkataba aliutia saini? Hebu labda nikuulize, Israel ikishachukua eneo lote, wapalestina wakaishi wapi au wao sio binadamu?
acha kudanganya watu wazima bwana MALIGHAFI , Wpalestina mara,zote huanza kushambulia waisrarl kisha waisrael huwashushia wapalestina kitu kizito , kinachofuata ni wavaa kobaz kuzunguka duniani wakipiga mayowe tunaonewa
 
Unaweza kuargue pasipo kutumia maneno ya kuudhi? Kuna sehemu nimekuita jina baya? Jihabarishe... Anayepokonya eneo la mwenzake nani? Au hizo ramani ni za uongo? Sasa utasemaje anayepokonywa eneo ndiye mchokozi?
 
Huwezi kuona kwenye vyombo vya kimataifa. Youtube hata wewe unaweza pandisha video. Lakini ili habari isambae na watu waijue, inaruka kwenye vyombo vya kimataifa vya habari kama ambavyo habari za Ukraine zinavyopewa promo.
Nadhani you got my point. Hizi habari za Youtube ni wachache wanaziona
Kama habari ina uzito mkubwa itapewa coverage lakini kwa mfano wako wa hii clip hii ni habari ndogo sana ya watu wawili majirani wanagombea mipaka ya ardhi kwanini ipate coverage kubwa.Pengine ulete habari kubwa yenye uzito ambayo imekuwa neglected na hivyo vyombo hapo utaeleweka.
 
Kwahiyo watu kunyanganya ardhi, kuuawa huko palestina haina uzito mkubwa kama raisi wa ukraine kumpa nishani mbwa 🤣.
Ndio maana nasema some people are more humans than others
 
Huwezi kuona kwenye vyombo vya kimataifa. Youtube hata wewe unaweza pandisha video. Lakini ili habari isambae na watu waijue, inaruka kwenye vyombo vya kimataifa vya habari kama ambavyo habari za Ukraine zinavyopewa promo.
Nadhani you got my point. Hizi habari za Youtube ni wachache wanaziona
vijana fanyeni kazi acheni kubishana na vitu ambayvo haviwasadii duniani hakuna haki wapo sahara magharibi wamechukuliwa ardhi yao wanaishii kwenye makambi kuna west Papua,Ukraine, nchi nyingi tu kifupi ukipoteza ardhi kwenye vita huwa hairudi tena hiyo unatakiwa kuichukua kwa vita tena.
 
Basi hizi kelele za Russia kumtandika Ukraine tusingekuwa tunazisikia
 
Back
Top Bottom