Kweli unachekesha ngoja kidogo nikuonyeshe. Tazama hii cliphv Palestina wasingekuwa waanzisha choko choko , lini wangepoteza hilo eneo ? hv ww ukivamiwa halafu akatumia kisu ukimdhibit unamuachia hicho kisu ?
Taarifa imetangazwa na vyombo vyote vya magharibi, sasa unataka kulaani kupi tenaIli mradi ujustify tu.
Ikiwa Ukraine basi kelele. Some people are more humans than others...
Sio kwamba ukweli hawaujui, na uonevu sio kwamba hawauoni.Binadamu akiamua kuchagua upande Fulani wa kusimamia,hata umwambie nini hawezi kukuelewa..hao jamaa kila kitu wanaona Sawa tu kwa sababu waliofanyiwa hiko kitendo ni Al-Jazeera
Mkuu punguza ukilaza, Ukraine kashakifa mwandishi majuz tu ila watu wapo kimya, nyinyi wavaa kobaz mnatatizo kweliIli mradi ujustify tu.
Ikiwa Ukraine basi kelele. Some people are more humans than others...
kuna mwandishi Ukraine kafa acheni kujitoa akili , watu wapo kimya maana kajipeleka mwenyew kaona udaku mzur kuliko uhaiDouble standards hawa wapiga vigelegele uwa wanajitoa ufahamu. Na sheria za kuwalinda waandishi wa habari zipo. Hata eti fasta wanamwita spy.
Yani hii dunia hii we acha tu
Tofautisha kutangaza na kulaani. Ingekuwa imetokea Ukraine akauwa mwandishi wa BBC ungesikia hayo mabeberu yanaunda hadi jopo la uchunguzi.Taarifa imetangazwa na vyombo vyote vya magharibi, sasa unataka kulaani kupi tena
lishafanya tayari ,ila watu wapo kimya , wavaa kobaz mna matatizo kwel , mnapenda kulialiaIngekuwa jeshi la russia ndiyo limefanya hivyo tungesikia kelele kila kona
Eneo lote hilo Israel walipewa na Mungu wao kwa mujibu wa maandiko na hata mababu zao walizikwa hapo kwa mujibu wa maandiko matakatifu.Ili mradi ujustify tu.
Ikiwa Ukraine basi kelele. Some people are more humans than others.
Angalia hii ramani, tena hiyo mwaka 1947 Israel walisaini mkataba wa kukubali hiyo ramani lakini ona leo wamechekua eneo lote na hata hayo makambi wanayataka.
Lakini husikii mkipiga keleleView attachment 2220316
Shida ndipo inaanzia hapa, unafikiri kila anayewatetea wapalestina ni Mwislamu.mkuu punguza ukilaza , Ukraine kashakifa mwandishi majuz tu ila watu wapo kimya ,nyinyi wavaa kobaz mnatatizo kweli
Bora useme weweHivi angepigwa mwandishi wa habari wa CNN na vikosi vya Russia kule Ukraine,nini kinge
Kwahiyo mtu akija kwako wewe hapo akakwambia hilo eneo lako amepewa na Mungu wake kwa mujibu wa maandiko yake na mababu zake wamezikwa hapo, utaondoka umwachie? Na majirani zako watamuunga muunga mkono?Eneo lote hilo Israel walipewa na Mungu wao kwa mujibu wa maandiko na hata mababu zao walizikwa hapo kwa mujibu wa maandiko matakatifu.
hahaaa me nashangaa wanaomtetea wkt kajipeleka mwenyew , hata mm ningekuwa mwandish sifanyi huo ujingaYaani eti anapeperusha live mapigano ya vita. Uhai kwanza hayo mambo mengine badae
Hao walipoambiwa wagawane miaka ile ya 1948 wakataka wapewe chote.Haya ndio tunayosema kila siku, oooh Russia imevamia Ukraine watu wanakufa oooh sijui nini, ila wakifa Wapalestina basi ni sawa...
mbona huko Ukraine kauliwa , umeona mtu analia , wavaa kobaz mnakatatizo kichwani ,hata ww usingeweza kwenda kupeperusha habari sehemu yenye makabiliano ila upo hapa kutetea ujingaBinadamu akiamua kuchagua upande Fulani wa kusimamia,hata umwambie nini hawezi kukuelewa..hao jamaa kila kitu wanaona Sawa tu kwa sababu waliofanyiwa hiko kitendo ni Al-Jazeera
Ingelikuwa wewe ungekubali? Kwahiyo pia ni sawa Israel kuchukua eneo lote nje ya mkataba iliosani mwaka 1947. Ndio maana UN haina maana tuHao walipoambiwa wagawane miaka ile ya 1948 wakatoka wapewe chote
Hilo Eneo Palestine walilipataga vipi?Ingelikuwa wewe ungekubali? Kwahiyo pia ni sawa Israel kuchukua eneo lote nje ya mkataba iliosani mwaka 1947. Ndio maana UN haina maana tu
ndio maana nakuuliza kama wasingekuwa wanaanza kushambulia waisrael lin wangepoteza hayo makazi yao ?Kweli unachekesha ngoja kidogo nikuonyeshe. Tazama hii clipna ni kati ya mengi yanayoendelea huko palestina na hutokaa uyaone kwenye vyombo vikubwa.
Ndio maana tunasuport Urusi kuendelea na operations zake kuuwa magaidi manaa hatutaki unafiq, tena msitupangie kusema tuwaonelee huruma Nato wanavyopewa kichapo UkraineWakulaumiwa ni Al Jazeera, unaenda kufanya ripoti mahali kuna oparesheni inaendelea. Hii kiherehere ya kutaka kuoneka unapeperusha live kutoka vitani itawaponza hawa wanahabari.
we kilaza , huko Ukraine yupo mwandishi kauliwa mlikuwa kimya na sisi tulikuwa kimya maana aliona udaku mzuri kuliko uhai , so tutulie tuendele mung'unya ubuyu huuTofautisha kutangaza na kulaani. Ingekuwa imetokea Ukraine akauwa mwandishi wa BBC ungesikia hayo mabeberu yanaunda hadi jopo la uchunguzi.
Na wewe hapa ungekuwa hapa unapiga kelele za kusema kila baya russia
Ndio ww unaelialia humu kuwalilia Ukraine sio ??Alikuwa anatumika kuspy huyo pia, mossad walivyogundua mpango wa kumla shaba kwa bahati mbaya ukatekelezwa haraka.