Mwandishi wa habari wa Al Jazeera, Shireen Abu Akleh auawa akiwa katika majukumu yake ya kazi

Mwandishi wa habari wa Al Jazeera, Shireen Abu Akleh auawa akiwa katika majukumu yake ya kazi

Ili mradi ujustify tu.
Ikiwa Ukraine basi kelele. Some people are more humans than others.

Angalia hii ramani, tena hiyo mwaka 1947 Israel walisaini mkataba wa kukubali hiyo ramani lakini ona leo wamechekua eneo lote na hata hayo makambi wanayataka.

Lakini husikii mkipiga kelele

View attachment 2220316
Mkuu nielimishe kidogo, hizi mambo huwa sifuatilii sana. Kwa hiyo wapalestina waliokuwa kwenye hayo maeneo huwa wanaenda wapi
 
Rusia inayengwa, ila Israel na Palestina wameachwa tu wauane
Marekani na washirika wake wamejitahidi sana kulinda amani ya dunia na kuondoa watu au vikundi vinavyojifanya ni vidume zaidi kughandamiza wenzao unreasonably.

Sio mara moja wamekwenda kuwaokoa waarabu wanaogandamizwa na waarabu wenzao mfano iraq iliwahi kuivamia nchi moja na wao ba kusita walikwenda kuwaokoa
 
Mkuu nielimishe kidogo, hizi mambo huwa sifuatilii sana. Kwa hiyo wapalestina waliokuwa kwenye hayo maeneo huwa wanaenda wapi
Wanaishi kwenye makambi mkuu yani. Na bado hata hayo makambi wanayataka pia. Mkuu watu uwa wanadhani labda mimi Mwishlam ila haya mambo mtu inafaa usiyaangalie kwa msingi wa dini. Mimi nimezaliaa familia ya Kikatoliki
 
Uko sahihi mkuu. Tusiangalie dini tusimamie kweli
 
Uko sahihi mkuu. Tusiangalie dini tusimamie kweli
Kabisa wewe jipe muda usome historia. Mimi sikatai kuwa Wayahudi walikuwa wakiishi hapo. Lakini waliondoka na kurudi baada ya maelfu ya miaka. Sasa hivi inakuingia akilini baada ya maelfu ya miaka urudi kudai eneo? Hata hapa tz ukiacha eneo miaka 20 bila kukaa watu watalivamia na ukirudi huwez watoa sasa ije kuwa miaka hyo watu wana move move tu
 
Mkuu punguza ukilaza, Ukraine kashakifa mwandishi majuz tu ila watu wapo kimya, nyinyi wavaa kobaz mnatatizo kweli
Kuna kitu watu hawajui kwanza huyu Shreen ni mkristo wala sio muislamu pili ni mpalestine lakini ni raia wa USA.
 
Tanzania bwana Panya road tu vitoto tunavikimbia mtaani jeshi la police zima wanapambana na vitoto Panya road hayo ya huko ya nini tupambane na Panya wanatutosha.
 
Wakulaumiwa ni Al Jazeera, unaenda kufanya ripoti mahali kuna oparesheni inaendelea. Hii kiherehere ya kutaka kuonekana unapeperusha live kutoka vitani itawaponza hawa wanahabari.
Mkiristo mwenzako huyo alieuliwa, tena ukiristo wake kakuzidi kila kitu, ww unatetea ujinga? Ndio ujue wanakuona kama kima tu msituni hawana shida na ww, hawamtambui Paulo hawa, tumia akili usitumie kamasi
IMG_20220513_133052.jpg
 
Kasome the Bar-kochna revolt ambapo ni vita ya mwisho waliopigana Jews na Romans. Hii ndio vita iliofanya jews wengi wauawe, wengine wawe watumwa na wengi wakimbie Jerusalem. Na hapa ndipo Warumi kuwakomoa Judea wakaibadili jina na kuiita palestina. Hii vita imepiganwa kuanzia 132 mpaka 136 BCE. Na baada ya hii vita Roman empire iliwawekea sheria kali na kila walikoenda walipata tabu sana.
Hivyo ndio maana nakwambia wakati Warumi wanaangushwa hawa Jews walikuwa washakimbia na kutapakaa na hawakuwahi kuregain hilo eneo mpaka baada ya Zionist movement.

Ona sehemu inasema hivi na baada ya hii

The war shattered Judean society and led to far-reaching demographic and political changes, with the majority of the Jewish population of the province killed, enslaved, or exiled, and their national hopes definitively crushed. The Jewish people would not regain their political independence until the Zionist era and the establishment of the State of Israel in 1948 CE.
huelew logic ya kila swali ninalokuuliza , Utawala wa warumi hapo Middle East uliangushwa na nan?
 
huelew logic ya kila swali ninalokuuliza , Utawala wa warumi hapo Middle East uliangushwa na nan?
Uliangusha na majeshi ya Umar ibn al-Khattab yani Waislamu mwaka 648 BCE lakini kumbuka ni zaidi ya miaka 400 toka Warumi wawafanyie figisu na Wayahudi wengi kwenda kwenye exile. Waliokuwa wamebaki hapo ni wayahudi wachache sana maana nimekwambia Warumi waliwaua, kuwageuza watumwa na wengi kukimbia Jerudsalem baada ya vita ya mwaka 132 mpaka 136 BCE
 
sw ila tambua kuwa warumi walipoondoka wayaudi wengi walikwepo bado hapo mnapaita Palestine ila wavaa kobaz ndo waliofanya kutoweka kbs kwa hicho kizaz cha wayaudi kwa sheria kali dhidi ya wayaudi ingawaje walibakia wachache waliokubali kuvaa kobaz kulinda uhai wao
 
Back
Top Bottom