Mwandishi wa Habari wa The Citizen afukuzwa kazi. Kaponzwa na Maoni yake katika mitandao ya kijamii?

Barua kapewa ya kufukuzwa kazi kapewa tarehe 20 na hotuba ya Magufuli ilikuwa tarehe 23 nafikiri Kuna sababu nyingine ambayo iliyosababisha kufukuzwa kazi ila sio hii.
Usichukue tarehe iliyopo kwenye barua ndiyo siku aliyopewa, muhusika ndiye anaweza kuthibitisha tarehe aliyopewa barua hiyo.
 
Hebu tujieulize bila kuweka uchama,ingekuwa hotuba ya mh.rais imetolewa na baba ya huyo mwandishi uchwara angeweza kumwambia maneno ya kukela namna hiyo? Nb.watendee watu kama vile ninyi mngependa kutendewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barua kapewa ya kufukuzwa kazi kapewa tarehe 20 na hotuba ya Magufuli ilikuwa tarehe 23 nafikiri Kuna sababu nyingine ambayo iliyosababisha kufukuzwa kazi ila sio hii.

Kuna barua mfano ya nyongeza ya mshahara, au hata hiyo ya kuachishwa kazi unaweza kupewa leo lakini ikawa mwanzo wake ni siku kadhaa nyuma.

Labda kama angekuwa alipewa tar 20, na kosa kalifanya tar 22 ungejiuliza. Ila hapo haioneshi amepewa lini, labda tu hilo ndilo la kujiuliza.
 
Tarehe 20
Hotuba ya rais ilikuwa jana 22/3 na tweet pia ni ya hiyo tarehe... Inamaanisha alifukuzwa kazi kabla hata ya hotuba ya rais.

Ukiwa unafanya kazi, unaweza kupokea barua mwezi wa 3 ikisema kwamba kuanzia tar 1 January mshahara wako ni kiasi fulani, kwa hiyo malimbikizo yatalipwa.

Kihasibu tunasema acting retrospectively, ndicho kilichotokea hapo. Barua kapewa leo ila adhabu inaanzia siku ya mwisho ya kazi kwa wiki kosa lilipofanyika.
 
Kwa hii observation umeteleza, huyu hawakilishi nchi, hata gazeti ni LA mfanyabiashara mkenya sio la serikali ya Kenya. So hapa hakuna diplomacy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Pascal Mayalla huyu jamaa ajifunzi kwako? Wewe huwa unauma then unapuliza..
By the way zama chimbo utupe habari zake kwa kina.
 
I wish vyombo vikubwa vya habari duniani vimchukue huyu jamaa.
 
Mama siku hizi sikuelewielewi...
Aisee yaani mtu anafukuzwa kazi kwa sababu hiyo ?Yaani Trump na Macron wanavyoyukanwa na wapiga kura wao,Magufuli ndo angekuwa wao angekufa kwa pressure.
 
Naomba kukuuliza mkuu; hiyo barua ya January mtu anayopokea mwezi wa tatu,ilifaa huyo mtu aipokee mwezi wa kwanza au inakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…