Mi nadhani Jf kuna shida, watu ni wajuaji kupita viwango.. Jamaa amefukuzwa tar 20 na tweet ya kumshambulia Jiwe ni ya tar 22, inaonyesha kabisa tweet yake sio sababu ya kusitishiwa kua mchangiaji wa gazeti husika labda kutakuwa na sababu nyingine ambayo wanaijua wao wahusika.. Sasa ujuaji wa wana Jf unakuja wanapotaka kulazimisha kuwa mwananchi wamerudisha tarehe nyuma ili kujinasua kwenye mzozo sasa unajiuliza wewe unaeamini kuwa mwananchi wamerudisha tarehe nyuma kwanini unilazimishe kuamini hicho na sio kwamba ni kweli jamaa atakua alifanya ishu nyingine iliyofanya asitishwe kuchangia mwananchi tar 20! Ushahidi tulionao at hand unakataa kuwa tweet ya jamaa haiwezi kuwa ndo ilifanya afukuzwe kutokana na tarehe kujichanganya ila kuna genge la wajuaji wanataka tuamini vitu tusivyoviona kwenye ushahidi? Hii si kupiga ramli? Hivi hapa ni nyumbani kwa great thinkers au wana harakati? Jf aka new Fb😀😆😀