Mwandishi wa Habari wa The Citizen afukuzwa kazi. Kaponzwa na Maoni yake katika mitandao ya kijamii?

Aisee yaani mtu anafukuzwa kazi kwa sababu hiyo ?Yaani Trump na Macron wanavyoyukanwa na wapiga kura wao,Magufuli ndo angekuwa wao angekufa kwa pressure.

mkuu, trump kuna video youtube amekaa meza moja na comedian fulani anataniwa sana tena utani wa ngumi anacheka tu, huku kwetu ushaozea jela kama sio kupigwa makofi na utaitwa huna nidhamu kwa wazee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo tangazo la mwananchi halioneshi kuwa alikuwa mfanyakazi wao linasema alikuwa "contributor" (mchangiaji) wa baadhi ya makala zao na kwa sasa hawataruhusu makala zake.
sio kweli,
laiti kama angekuwa ni contributer tu, mwananchi communication wasingempa nafasi ya kuwafanyia mahojiano baadhi ya viongozi. khalifa was their permanent journalist/employee.
IMG_20200323_185446.jpeg
 
Mi nadhani Jf kuna shida, watu ni wajuaji kupita viwango.. Jamaa amefukuzwa tar 20 na tweet ya kumshambulia Jiwe ni ya tar 22, inaonyesha kabisa tweet yake sio sababu ya kusitishiwa kua mchangiaji wa gazeti husika labda kutakuwa na sababu nyingine ambayo wanaijua wao wahusika.. Sasa ujuaji wa wana Jf unakuja wanapotaka kulazimisha kuwa mwananchi wamerudisha tarehe nyuma ili kujinasua kwenye mzozo sasa unajiuliza wewe unaeamini kuwa mwananchi wamerudisha tarehe nyuma kwanini unilazimishe kuamini hicho na sio kwamba ni kweli jamaa atakua alifanya ishu nyingine iliyofanya asitishwe kuchangia mwananchi tar 20! Ushahidi tulionao at hand unakataa kuwa tweet ya jamaa haiwezi kuwa ndo ilifanya afukuzwe kutokana na tarehe kujichanganya ila kuna genge la wajuaji wanataka tuamini vitu tusivyoviona kwenye ushahidi? Hii si kupiga ramli? Hivi hapa ni nyumbani kwa great thinkers au wana harakati? Jf aka new Fb😀😆😀
Umeongea point kubwa Sana mjadala ulitakiwa ufungwe hapa.
 
Aisee yaani mtu anafukuzwa kazi kwa sababu hiyo ?Yaani Trump na Macron wanavyoyukanwa na wapiga kura wao,Magufuli ndo angekuwa wao angekufa kwa pressure.
Ni nyumbu tuu wanaoamini sababu hiyo.
Barua ya kufukuzwa ni ya trh 20. Maoni katoa trh 22. Bado nyumbu wanaamini kwamba Mwananchi walijua kwamba jamaa atatoa maoni hayo wakamfukuza kazi kabla ya kuyatoa!!
Ama kweli Mbowe kawaachia nyumbu akili ya kuvukia barabara tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uzwazwa wewe....

Public notice ya kufukuzwa kazi imetolewa leo mchana.

Kwanini public notice haikutolewa tar 20?

Hiyo tarehe imewafanya watu wengi washindwe kufikiria hata kidogo.

Hivi siwezi kundika statement hapa sasa hivi halafu nikaiwekea tarehe ya mwaka uliopita?

Tuleteeni barua iliyomfukuzisha kazi jamaa ambayo jamaa alikabidhiwa tar 20 baada ya kufukuzwa kazi. Iwe na muhuri wa kampuni ya mwananchi.

Siyo huo uhuni ulioandikwa kwenye hiyo statement ndio mnauita barua...

MATAGA mna funza kichwani
20200323_161819.jpeg
 
Mi nadhani Jf kuna shida, watu ni wajuaji kupita viwango.. Jamaa amefukuzwa tar 20 na tweet ya kumshambulia Jiwe ni ya tar 22, inaonyesha kabisa tweet yake sio sababu ya kusitishiwa kua mchangiaji wa gazeti husika labda kutakuwa na sababu nyingine ambayo wanaijua wao wahusika.. Sasa ujuaji wa wana Jf unakuja wanapotaka kulazimisha kuwa mwananchi wamerudisha tarehe nyuma ili kujinasua kwenye mzozo sasa unajiuliza wewe unaeamini kuwa mwananchi wamerudisha tarehe nyuma kwanini unilazimishe kuamini hicho na sio kwamba ni kweli jamaa atakua alifanya ishu nyingine iliyofanya asitishwe kuchangia mwananchi tar 20! Ushahidi tulionao at hand unakataa kuwa tweet ya jamaa haiwezi kuwa ndo ilifanya afukuzwe kutokana na tarehe kujichanganya ila kuna genge la wajuaji wanataka tuamini vitu tusivyoviona kwenye ushahidi? Hii si kupiga ramli? Hivi hapa ni nyumbani kwa great thinkers au wana harakati? Jf aka new Fb😀😆😀
kwa misimamo ya huyo mwandishi unadhani kweli tatizo ni hiyo tweet moja tu?fikiria zaidi mkuu. twit hiyo ikupe msukumo zaidi wa kujua twit zake zingine. kabla hujaita watu genge la wajuaji omba kujua,wakati wewe umeona hiyo twit pekee hao wajuaji wameona zaidi ya tweet
 
Kila mtu anahisi lake
Pengine kamshika mtu titi ofisini,watu mnadhani siasa
 
Public notice ya kufukuzwa kazi imetolewa leo mchana.

Kwanini public notice haikutolewa tar 20?

Hiyo tarehe imewafanya watu wengi washindwe kufikiria hata kidogo.

Hivi siwezi kundika statement hapa sasa hivi halafu nikaiwekea tarehe ya mwaka uliopita?

Tuleteeni barua iliyomfukuzisha kazi jamaa ambayo jamaa alikabidhiwa tar 20 baada ya kufukuzwa kazi. Iwe na muhuri wa kampuni ya mwananchi.

Siyo huo uhuni ulioandikwa kwenye hiyo statement ndio mnauita barua...
Punguza kelele, kumbe hata barua ya kuachishwa kazi hujaiona ila tayari unajua ni ya tarehe gani? Kwa hiyo niamini ramli zako hapa au public notice na tweet ya mwandishi tulizowekewa hapa? Umekalia stori za kufikirika na kurudia rudia post badala utuletee hiyo barua ya termination tuone ni ya lini? Na habari za public notice imewekwa hadharani lini ni wao ndo wameona waiweke siku waliyoiweka sababu wanazijua wao, tupunguze ramli..
 
Hapo nimeweka tweet ya mwanachi ltd kampuni iliyokuwa imemuajiri. Halafu unasema nmeweka tweet ya mwandishi mwenyewe?

Tumia akili zako vizuri siyo unakurupuka hata hujasoma vizuri...

Back
Top Bottom