Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 7,982
- 27,272
tungeshawaua wanaume almost dunia nzima na hivi ni wachache kutuliko..!!Wanawake wangekua na wivu wa kimapenzi kama wanaume sijui nini kingetokea
Pole kwa wafiwa na muuaji maana atapatikana tuu, heri angeachana na huyo mwanamke kuliko kufia jela
tunavumilia mengi mno maskiini..!!