Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Mkuu nimekula Sana wake za watu ngoja niache.... Ila wao ndo wanazingua kinoma nomaKwenye maisha yako usiguse mke wa mtu, hata usipogundulika lakini vita yake kiroho itakugharimu tu one day labda ufanye toba ya kweli. Kiapo cha mke wa ndoa iwe kanisani, msikitini au popote ni hatari hatari hatari kuingilia ukiwa unafahamu