Mwanza: Akutwa amekufa pembeni kukiwa na ujumbe ‘mke wa mtu ni sumu’

Mwanza: Akutwa amekufa pembeni kukiwa na ujumbe ‘mke wa mtu ni sumu’

Hao jamaa waliotekeleza ili tukio ni wajinga. Inamaana hawakujua kama huo ujumbe walioacha ndio itakuwa starting point ya uchunguzi?
Yaani ni rahisi kweli. Wajinga sana.
 
Mwanamke hawezi kuwa na wivu kama mwanaume coz zaidi ya sex hakuna anachotoa ...So hana cha kupoteza ... Ila kwa Upande wa mwanaume...Yeye ndo anajukumu la kusimamia kila kitu , Financial... decision ...na mambo mengi...Mwanamke anasubiri kuongozwa tuu

[emoji23] jamani mwana JF mwenzetu tumemsahau karne ya 5! Ajitokeze wa kumshtua!

Eti Women have nothing to offer but Sex! Really? Nani kakuharibu?

Pengine hata huwajui wanawake vizuri!

Women are the real Architects of the very Society that you exist in. And the World at Large!!

Strength of a Woman - Shaggy
 
Kwenye maisha yako usiguse mke wa mtu, hata usipogundulika lakini vita yake kiroho itakugharimu tu one day labda ufanye toba ya kweli. Kiapo cha mke wa ndoa iwe kanisani, msikitini au popote ni hatari hatari hatari kuingilia ukiwa unafahamu
Mkuu huu ujumbe wako nimeurudia karibu mara 3 lakini bado nimetoka kapa naomba unieleweshe kidogo iyo vita ya kiroho na mke wa mtu ni ipi?
 
Ili kumjulisha alichofanya ni utopolo.
Ningekuwa karibu, naenda kumtongoza huyo mke wa jamaa. Na siku ya hukumu, naenda naye huku nimemshika kiuno.
Siku akiwa jela, tunaenda kumsalimia jamaa, halafu mbele yake nampiga busu na kumnyonya mate mbele yake. Ili ajue alichokifanya ni utopolo kbsa
Utoto raha sana, ushawahi kwenda kutembelea mtu Gerezani? Utapata wapi mda wa kumshika huyo mwanamke kiuno au kumnyonya mate, jaribu siku kwemda Segerea au Ukonga then leta mrejesho humu
 
"Kando ya mwili wa marehemu kulikutwa ujumbe uliosomeka kuwa 'mke wa mtu ni sumu' watuhumiwa wanahojiwa na upelelezi ukikamilika watafikishwa mahakamani,"

Umebaki wewe
Unakuta kauwawa na jamaa kwenye kudhulumiana n.k


Ila sasa muuaji anataka aweke ugum wa upelelez anaamua kuacha ujumbe huo.
 
Mkuu,naomba useme amen,jipige ngumi kifuani sema Mimi ni mwamba! Hua unajikuta ushafanya tukio zito,bila yakutarajia,sema labda kama kuna mtu mwingine akuzuie! Kaka acha kabisa,hua kuna hasira za ajabu zinakuja kama mbongo aliyekoswa na mshale

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hasira ni lazima ila ndio hivo inahitaji uvumilivu. bila kuvumilia mvua za maisha zinakushukia.mimi sijui ni kwa sababu ya kusoma matukio mengi huku mitandaoni nimejikuta naepuka hasira
 
Yani hapo kama kuna mtu anajua kuwa marehemu alikuwa anakula mke wake na hajakamatwa..alafu anasikia upelelezi bado unaendelea sijui anawaza nini kichwani kwake...
 
Mnyonge! Unafikiri magereza yote yapo km ukonga au segerea?
Utoto raha sana, ushawahi kwenda kutembelea mtu Gerezani? Utapata wapi mda wa kumshika huyo mwanamke kiuno au kumnyonya mate, jaribu siku kwemda Segerea au Ukonga then leta mrejesho humu
 
Unajua hukumu ya kumlawiti mgoni wako?
Akienda kukushitaki unachezea mvua 30.
Huyo jamaa ngoja akanyee debe halafu mke wake ambaye alikuwa anamchunga, apigwe mashine
Mpaka sasa tayari huyo mwanamke ameshapata bwana mpya.
Watu hawajui hata kutumia akili walizozaliwa nazo.
Ukiona mkeo analiwa, ujue. Ametaka yeye
Unafikiri watu wanamimd kwa sababu mke kaliwa basi? Dharau za anayemla huyo mke wake. Mtu anaona bora nifie jela ila huyu lazima nimpe majibu.
 
Back
Top Bottom