Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Wanawake wote ni watamu hata mama zetu . Lakini kwa waume waoNa mke wa mtu ni mtamu
Odhis *
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake wote ni watamu hata mama zetu . Lakini kwa waume waoNa mke wa mtu ni mtamu
Omba Mungu kipindi cha tukio, hekima ikutangulie badala ya hasira na ubabe.Huwa ninawambia watu hiki kitu wananiona mjinga, ukioa mke alafu akachepuka achana nae wala hata ukimkuta kitandani kwako na jamaa wewe toka nje alafu rudi baadae mwambie aondoke, kuliko kumuua mtu alafu unaishia jela
😂 😂 😂Na usiombe uwe Mume wa Demu huyo..alafu kwenye kumbukumbu, ionyeshe uliwahi mtafuta marehem, kwa vitisho
Ndo bai bai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aya mambo haya[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aya mambo haya
Na hawa polisi wetu..lolote linawezekana.
MUME WA HUYO MWANAMKE, HAWEZI KUUA, ALAFU AANDIKE " MKE WA MTU NI SUMU"
ILI HALI ANAJUA, YEYE NDO MUME WA MWANAMKE HUYO.
sababu polisi watafuatilia mawasiliano yake yote ya meseji na nasimu
Muuaji wa Jamaa, kaamua kuchomesha mahindi tu[emoji23]
Mimi namkuta na mtu kitandani simwachi kwani nitae muoa nae kahongwa Jana kama siyo juzi hivyo sitomwacha ila jamaa lazima nimvishe shanga kisha namtoboa jichoHuwa ninawambia watu hiki kitu wananiona mjinga, ukioa mke alafu akachepuka achana nae wala hata ukimkuta kitandani kwako na jamaa wewe toka nje alafu rudi baadae mwambie aondoke, kuliko kumuua mtu alafu unaishia jel
Inawezekana huo ujumbe ni "bosheni" tuu, lengo kubwa likiwa kupoteza maboya vyombo vya dola. Na hata hao watuhumiwa inawezekana wamekua fixed tu. Wauaji halisi sasa hivi wanakenua tu popote walipo.Hao jamaa waliotekeleza ili tukio ni wajinga. Inamaana hawakujua kama huo ujumbe walioacha ndio itakuwa starting point ya uchunguzi?
Inawezekana pia ikawa hivyoInawezekana huo ujumbe ni "bosheni" tuu, lengo kubwa likiwa kupoteza maboya vyombo vya dola. Na hata hao watuhumiwa inawezekana wamekua fixed tu. Wauaji halisi sasa hivi wanakenua tu popote walipo.
Hata wakikuachia mke huwezi fanya kitu usha tinduliwa marinda kazi yako inakua kutafta mitarimboHiyo ni kesi ya ulawiti na adhabu yake mvua 30.
Nyie nendeni jela, mtuachie wake zenu. Ningekuwa Mwanza. Huyo mke wa jamaa lazima ningemgonga na mtoto juu
Wanawake ndio wana chepuka zaidi ya wanaume!tungeshawaua wanaume almost dunia nzima na hivi ni wachache kutuliko..!!
tunavumilia mengi mno maskiini..!!
Wanawake wangekua na wivu wa kimapenzi kama wanaume sijui nini kingetokea
Pole kwa wafiwa na muuaji maana atapatikana tuu, heri angeachana na huyo mwanamke kuliko kufia jela
Ila kama jamaa lilikuwa na wivu sana lazima ataacha ujumbe mapenzi upofu!Huu ujumbe ni wa uwongo umewekwa hapo kuwalagai polisi ktk upelelezi wao...
Nakataa kabisaaWanawake ndio wana chepuka zaidi ya wanaume!
Sekunde mbili anakuwa amesha pigwa kimoko na kusahau na kurudi nyumbani kama Malaika! Hamta kwenda mbungeni!
Eti ndani kwangu kabisa ata sebuleni tu sikujui upo nyumbani kwangu sina tarifa ukitoka hapo huto rudi tena!We muongo tu
Ata kutaja majina ya Mungu mnaweza kutaja kumbe umetoka kimokoNakataa kabisaa
Ata kutaja majina ya Mungu mnaweza kutaja kumbe umetoka kimoko
Ndio ukweli sisi tuna wangaliaga tu!We ukoje lakini🤔🤔
Muone🙄🙄🙄
Kuna Butimba pia mkuu. Sio segerea tuu.Aliyeingia kwa mke wa jirani yake maana yake ni kwamba ameenda kujinywesha sumu mwenyewe.
Hao walimu walioiba vitabu wakaamua kuviuza nao huenda uchumi umekuwa mbaya kwao wakaamua kujilipua. Tamaa mbaya
Waliokamatwa na bhangi wakawasalimu wenzao huko segerea. Bhangi inaharibu vijana wasio na ajira.
Ndio ukweli sisi tuna wangaliaga tu!
Tukikuta pameguswa huwa tuna jua sema huwa hatuwambiagi!
Me siuwi maana kuua ni kazi ya Mungu aisee wanawake bado ni wengi nina chagua tu mwingine! Ila inategemea naazingira ya uchepukaji!Si ndio mnaishia kuuwa waliogusa
Ila wanaume bhana🙌