Mwanza: Akutwa amekufa pembeni kukiwa na ujumbe ‘mke wa mtu ni sumu’

Mwanza: Akutwa amekufa pembeni kukiwa na ujumbe ‘mke wa mtu ni sumu’

Huwa ninawambia watu hiki kitu wananiona mjinga, ukioa mke alafu akachepuka achana nae wala hata ukimkuta kitandani kwako na jamaa wewe toka nje alafu rudi baadae mwambie aondoke, kuliko kumuua mtu alafu unaishia jela
Omba Mungu kipindi cha tukio, hekima ikutangulie badala ya hasira na ubabe.

Odhis *
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aya mambo haya


Na hawa polisi wetu..lolote linawezekana.



MUME WA HUYO MWANAMKE, HAWEZI KUUA, ALAFU AANDIKE " MKE WA MTU NI SUMU"

ILI HALI ANAJUA, YEYE NDO MUME WA MWANAMKE HUYO.

sababu polisi watafuatilia mawasiliano yake yote ya meseji na nasimu



Muuaji wa Jamaa, kaamua kuchomesha mahindi tu[emoji23]
 
Aya mambo haya


Na hawa polisi wetu..lolote linawezekana.



MUME WA HUYO MWANAMKE, HAWEZI KUUA, ALAFU AANDIKE " MKE WA MTU NI SUMU"

ILI HALI ANAJUA, YEYE NDO MUME WA MWANAMKE HUYO.

sababu polisi watafuatilia mawasiliano yake yote ya meseji na nasimu



Muuaji wa Jamaa, kaamua kuchomesha mahindi tu[emoji23]

😂 😂 Inaweza kua ngoja tusubiri upelelezi ukamilike
 
Mke
Huwa ninawambia watu hiki kitu wananiona mjinga, ukioa mke alafu akachepuka achana nae wala hata ukimkuta kitandani kwako na jamaa wewe toka nje alafu rudi baadae mwambie aondoke, kuliko kumuua mtu alafu unaishia jel
Mimi namkuta na mtu kitandani simwachi kwani nitae muoa nae kahongwa Jana kama siyo juzi hivyo sitomwacha ila jamaa lazima nimvishe shanga kisha namtoboa jicho
 
Hao jamaa waliotekeleza ili tukio ni wajinga. Inamaana hawakujua kama huo ujumbe walioacha ndio itakuwa starting point ya uchunguzi?
Inawezekana huo ujumbe ni "bosheni" tuu, lengo kubwa likiwa kupoteza maboya vyombo vya dola. Na hata hao watuhumiwa inawezekana wamekua fixed tu. Wauaji halisi sasa hivi wanakenua tu popote walipo.
 
Hiyo ni kesi ya ulawiti na adhabu yake mvua 30.
Nyie nendeni jela, mtuachie wake zenu. Ningekuwa Mwanza. Huyo mke wa jamaa lazima ningemgonga na mtoto juu
Hata wakikuachia mke huwezi fanya kitu usha tinduliwa marinda kazi yako inakua kutafta mitarimbo
 
tungeshawaua wanaume almost dunia nzima na hivi ni wachache kutuliko..!!

tunavumilia mengi mno maskiini..!!
Wanawake ndio wana chepuka zaidi ya wanaume!
Sekunde mbili anakuwa amesha pigwa kimoko na kusahau na kurudi nyumbani kama Malaika! Hamta kwenda mbungeni!
Wanawake wangekua na wivu wa kimapenzi kama wanaume sijui nini kingetokea

Pole kwa wafiwa na muuaji maana atapatikana tuu, heri angeachana na huyo mwanamke kuliko kufia jela
 
Aliyeingia kwa mke wa jirani yake maana yake ni kwamba ameenda kujinywesha sumu mwenyewe.


Hao walimu walioiba vitabu wakaamua kuviuza nao huenda uchumi umekuwa mbaya kwao wakaamua kujilipua. Tamaa mbaya


Waliokamatwa na bhangi wakawasalimu wenzao huko segerea. Bhangi inaharibu vijana wasio na ajira.
Kuna Butimba pia mkuu. Sio segerea tuu.
Watu wa dar.....kila kitu chenu.
 
Mi nasubiri hawa vijana wanao jinasibu mabarobaro Ni mfume siku moja hata kuhisi tuh

Kuna adhabu moja nataka nitekeleze kinyama

Sema uzuri mke wangu nimemfanyia zindiko
 
Si ndio mnaishia kuuwa waliogusa
Ila wanaume bhana🙌
Me siuwi maana kuua ni kazi ya Mungu aisee wanawake bado ni wengi nina chagua tu mwingine! Ila inategemea naazingira ya uchepukaji!
Maana kama mwanume una chepuka hutakiwi kuhukumu
 
Back
Top Bottom