Mwanza: Akutwa amekufa pembeni kukiwa na ujumbe ‘mke wa mtu ni sumu’

Mwanza: Akutwa amekufa pembeni kukiwa na ujumbe ‘mke wa mtu ni sumu’

Wanawake wangekua na wivu wa kimapenzi kama wanaume sijui nini kingetokea

Pole kwa wafiwa na muuaji maana atapatikana tuu, heri angeachana na huyo mwanamke kuliko kufia jela
tungeshawaua wanaume almost dunia nzima na hivi ni wachache kutuliko..!!

tunavumilia mengi mno maskiini..!!
 
sioni cha ajabu hapo sababu anajua kabisa mwanamke akiolewa anakuwa mali ya mtu.

sio kitu kizuri ila huyo jamaa anadeserve.

ili kuepusha hayo makubwa zaidi ni bora serikali iweke sheria juu ya kutembea na mke wa mtu.
 
tungeshawaua wanaume almost dunia nzima na hivi ni wachache kutuliko..!!

tunavumilia mengi mno maskiini..!!
Mwanamke hawezi kuwa na wivu kama mwanaume coz zaidi ya sex hakuna anachotoa ...So hana cha kupoteza ... Ila kwa Upande wa mwanaume...Yeye ndo anajukumu la kusimamia kila kitu , Financial... decision ...na mambo mengi...Mwanamke anasubiri kuongozwa tuu
 
Mbona Mimi mke wangu rafiki yake wakiume Kaja kumsalimia walisoma pamoja, kufunga safari toka Arusha Kaja Lindi kumsamalimia rafiki yake, nimewaacha nyumbani, MI Niko job, Kwani Kitu gani
Uko sawa mkuu
 
Huwa ninawambia watu hiki kitu wananiona mjinga, ukioa mke alafu akachepuka achana nae wala hata ukimkuta kitandani kwako na jamaa wewe toka nje alafu rudi baadae mwambie aondoke, kuliko kumuua mtu alafu unaishia jela
We muongo tu
 
Hao walimu walioiba vitabu ndio wameniacha hoi hayo ya mke wa mtu watajuana huko wenyewe.
 
Mbona Mimi mke wangu rafiki yake wakiume Kaja kumsalimia walisoma pamoja, kufunga safari toka Arusha Kaja Lindi kumsamalimia rafiki yake, nimewaacha nyumbani, MI Niko job, Kwani Kitu gani
[emoji23][emoji23],Da!umenifurahisha,hii confidence sio ya nchi hii
 
Huu ujumbe ni wa uwongo umewekwa hapo kuwalagai polisi ktk upelelezi wao...
 
Bado ni fikirishi ... Kama kauliwa na wahuni tu wakaamua kutia bosheni kwa kuandika kikaratasi na kukitupa !!?? Mme gani huyo aandike hivyo baada ya mauaji !!!?? Si anakuwa amejilengesha !!??
Hebu niambie mwenyewe hii ni kulagai jamii
 
Hivyo vya programm ndio hivyo vinavyotokea mtaani. Achankabisa tenanwanawake very calculating
🤣🤣🤣🤣🤣
Tangu nijue vile Mungu anajua kudeal na hizi vitu nna rahaa sana
Wewe zingua tuu lakini ujue yule usiyemuona akiamua utakata umeme au utakata moto
 
Hao jamaa wamejua kucheza na akili za Askari..
Hakuna cha mwanamke wala nini... polisi wafanye kaz yao
 
Back
Top Bottom