tungeshawaua wanaume almost dunia nzima na hivi ni wachache kutuliko..!!Wanawake wangekua na wivu wa kimapenzi kama wanaume sijui nini kingetokea
Pole kwa wafiwa na muuaji maana atapatikana tuu, heri angeachana na huyo mwanamke kuliko kufia jela
Naona hujaangalia program moja inaitwa women with knivesWanawake wangekua na wivu wa kimapenzi kama wanaume sijui nini kingetokea
Pole kwa wafiwa na muuaji maana atapatikana tuu, heri angeachana na huyo mwanamke kuliko kufia jela
Mwanamke hawezi kuwa na wivu kama mwanaume coz zaidi ya sex hakuna anachotoa ...So hana cha kupoteza ... Ila kwa Upande wa mwanaume...Yeye ndo anajukumu la kusimamia kila kitu , Financial... decision ...na mambo mengi...Mwanamke anasubiri kuongozwa tuutungeshawaua wanaume almost dunia nzima na hivi ni wachache kutuliko..!!
tunavumilia mengi mno maskiini..!!
Uko sawa mkuuMbona Mimi mke wangu rafiki yake wakiume Kaja kumsalimia walisoma pamoja, kufunga safari toka Arusha Kaja Lindi kumsamalimia rafiki yake, nimewaacha nyumbani, MI Niko job, Kwani Kitu gani
We muongo tuHuwa ninawambia watu hiki kitu wananiona mjinga, ukioa mke alafu akachepuka achana nae wala hata ukimkuta kitandani kwako na jamaa wewe toka nje alafu rudi baadae mwambie aondoke, kuliko kumuua mtu alafu unaishia jela
Mimi sitaki vya program..... naongelea vya mtaani mtaaniNaona hujaangalia program moja inaitwa women with knives
Hivyo vya programm ndio hivyo vinavyotokea mtaani. Achankabisa tenanwanawake very calculatingMimi sitaki vya program..... naongelea vya mtaani mtaani
[emoji23][emoji23],Da!umenifurahisha,hii confidence sio ya nchi hiiMbona Mimi mke wangu rafiki yake wakiume Kaja kumsalimia walisoma pamoja, kufunga safari toka Arusha Kaja Lindi kumsamalimia rafiki yake, nimewaacha nyumbani, MI Niko job, Kwani Kitu gani
Na mume wa mtu jeBado nawakumbusha mke wa mtu ni sumu
Hebu niambie mwenyewe hii ni kulagai jamiiBado ni fikirishi ... Kama kauliwa na wahuni tu wakaamua kutia bosheni kwa kuandika kikaratasi na kukitupa !!?? Mme gani huyo aandike hivyo baada ya mauaji !!!?? Si anakuwa amejilengesha !!??
🤣🤣🤣🤣🤣Hivyo vya programm ndio hivyo vinavyotokea mtaani. Achankabisa tenanwanawake very calculating
Haaahaaahaa[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]Tanzania ni nchi ambayo shamba lako likiwa na madini ni mali ya serikali ila hilohilo shamba ukikutwa umelima bangi yaani hiyo ni mali yako.
Mume wa mtu MaziwaNa mume wa mtu je