Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi

Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi

Niliwahi kuandika kuwa ccm wote wanafanana..
Niliandika kabla hata hajawa rais kuwa huyu mama ni wale wale.
 

Walikuwa kwenye maandalizi ya kongamano la Katiba mpya

Ni Askofu Mwamakula, Dkt. Lwaitama na Twaha Mwaipaya

Pia soma
NCHI HII KUNA UPUUZI NA UFENENGE KWELI!
INTELGENSIA ESHINDWA KUWABAINI WALIOCHOMA SOKO KARIAKOO,! MNADILI NA WANAONDESHA KONGAMANO, MCHANA NA MWANGANI KABISA.

KWA MWENDO HUU MAMA HATOBOI, AMALIZIE MINNE 4 YAKE!

😃😶😶😶😶🙂🙂🙂🙂
 
Acha wanyonywe vinyesi kwani wao wanatutendea haki kutuacha tupambane na umasikini wenyewe? Au haujui umasikini ni adui wa taifa? Watu tupo busy kupigana na umasikini uchumi ukue wao wako busy kututoa kwenye reli...
Miaka 60 ya umaskini lakini wewe unawalaumu ambao hawajawai kushika madaraka hata siku moja na sio wale ambao wameshika madaraka miaka yote hiyo. Naona unashikama tuu na reli ya umaskini na yeyote anayejaribu kukuonyesha njia mbala unataka anyonywe kinyesi!

Amandla...
 
Anzia hapo nyuma ya keyboard unazoandikia maana huwezi kuandamana barabarani kama we ni mwanaume kweli anza kuandamana na usipoandamana wewe ni wa kike tena malaya
wewe ni bitch kabisa sijui kwanini mvua ya kutosha kuzalisha isingenyesha badala ya wewe kuzaliwa au mamako angeabort au babayo angepiga punyeto badala kumlala mamayo
 
NCHI HII KUNA UPUUZI NA UFENENGE KWELI!
INTELGENSIA ESHINDWA KUWABAINI WALIOCHOMA SOKO KARIAKOO,! MNADILI NA WANAONDESHA KONGAMANO, MCHANA NA MWANGANI KABISA.

KWA MWENDO HUU MAMA HATOBOI, AMALIZIE MINNE 4 YAKE!

[emoji2][emoji55][emoji55][emoji55][emoji55][emoji846][emoji846][emoji846][emoji846]
Unaijua hata maana ya inteljensia

USSR
 
Huu uonevu Mama Samia aukemee.
Mama mwenyewe atakuwa yuko nyuma ya hii issue. Anajua kabisa kuruhusu katiba mpya sasa anaweza kupoteza kiti by 2025. Nafikiri anavuta muda mpaka aingize awamu ya pili.
 
Hivi toka uzaliwe Tanzania hii, umeshawahi kuona polisi wamekamata CCM?! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom