Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi

Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi

Hivi kwa nini isiwe ni chanzo cha Violence hicho.

Maana i'm tired. Watu wanakamatwaje kizembe na njemba zipo. Hapo ilitakiwa itokee vurugu then maandamano. Shinyanga wanaunga, then Tabora, Singida, Makao makuu, Morogoro na kisha Dar pia Tunakiwasha panakuwa hapakaliki. Na mikoa mingine inaunga juhudi. Tutavumilia hata lini huu udhalimu.

Tangazeni Dar Tuanzie wapi.!!!! [emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]
Umeshindwa kuandamana kwa kuongezewa gharama za maisha kwa tozo kubwa za miamala eti uje kuandamana kwa upuuzi wa akina Mwamakula, stupid
 
Hivi hakuna uwezekano wa kuwapata Polisi wenye akili timamu na urlewa mzuri wa sheria za nchi ili wapewe nafasi kama za RCO na OCD?
 
Walikua na kibali?

Sababu sio siasa tuu hata lingekua kongamano la mashekhe, mapadre au wachungaji bila kibali wangekamatwa tuu
Wewe mama unazeeka vibaya. Hakuna unachojua. Hakuna sheria inayomtaka mtu yeyote kuomba kibali au kuwataarifu polisi kwaajili ya kufanya vikao vya ndani.
 
Sasa askofu na mambo ya kudai katiba wapi na wapi? Akamatwe tu, huyo jamaa namuona tangu siku nyingi sana anapenda kukuchamganya kwenye siasa.
 
Siamini kabisa kuwa Raisi Samia yuko nyuma ya hilo ila ni hao Mapolisi ambao bado wanafikiria Mwendazake bado yu hai atawapandisha vyeo
Ni ujinga kumtetea samia. Kwani hana taarifa? Kwa nini muendelee kutumia kigezo za marehemu kumtetea aliye hai?kama rpc alitamka kabisa kapewa amri na rais.

Umeona rais amepotosha au kumwajibisha? Hizi tozo za miamala na kodi ua mafuta ni vya marehemu? Tufikie hatua tuuone ukweli. Tutakuwa wajinga kuendelea kuyaficha maovu yake kwenye kivuli cha marehemu.
 
Sasa askofu na mambo ya kudai katiba wapi na wapi? Akamatwe tu, huyo jamaa namuona tangu siku nyingi sana anapenda kukuchamganya kwenye siasa.
Na Wanasiasa wanapotaka maaskofu waombee nchi huwa wanatumia kigezo gani? Huwezi tenganisha dini na siasa..sababu zote zinatumia wanadamu ambao ni wana dini na wanasiasa.
 
Wewe mama unazeeka vibaya. Hakuna unachojua. Hakuna sheria inayomtaka mtu yeyote kuomba kibali au kuwataarifu polisi kwaajili ya kufanya vikao vya ndani.
Kama wewe huzeeki vibaya nionyeshe walipohutubia kina Mwamakula😅😅😆😆😆
 
Fanyeni kazi watanzania wenzangu, achaneni na mambo ya kongamano sijui vitu gani.
Hapo mtu hafanyi kazi anaenda kwenye kongamano akitoka hapo anakuja kutupigia kelele huku tozo sijui nini. Fanyeni kazi ndugu zanguni
 
Walikua na kibali?

Sababu sio siasa tuu hata lingekua kongamano la mashekhe, mapadre au wachungaji bila kibali wangekamatwa tuu
Huwezi kuomba kibali kwa shughuli ya ndani. Shughuli za ndani za vyama vya siasa haziwahi kuombewa vibali kisheria popote katika hii nchi.
 
Hivi kwa nini isiwe ni chanzo cha Violence hicho.

Maana i'm tired. Watu wanakamatwaje kizembe na njemba zipo. Hapo ilitakiwa itokee vurugu then maandamano. Shinyanga wanaunga, then Tabora, Singida, Makao makuu, Morogoro na kisha Dar pia Tunakiwasha panakuwa hapakaliki. Na mikoa mingine inaunga juhudi. Tutavumilia hata lini huu udhalimu.

Tangazeni Dar Tuanzie wapi.!!!! [emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]
Muonyeni huyo askofu wenu.
 
Hao sio maaskofu bhana mbona.

IMG_20210717_190401_759.jpg

Hiiiiii bagosha!
 
Back
Top Bottom