Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi

Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi

Nakwambia hivi.

1. Mtu anaangalia kama mkutano wake unahitaji ulinzi wa polisi au hauhitaji.

2. Kama hauhitaji ulinzi wa polisi, hususan kama hautumii public grounds, anaendelea na mkutano. Hahitaji kutoa taarifa polisi. Hii ni haki yake ya kikatiba.

3. Kama anahitaji ulinzi wa polisi, anahitaji kutoa taarifa polisi.

Sasa mtu akiishia namba mbili hapo juu, polisi wanaingiaje hapo?
Mkuu Kiranga ,kuna watu wana uelewa wa polepole sana.
 
Mama mwenyewe atakuwa yuko nyuma ya hii issue. Anajua kabisa kuruhusu katiba mpya sasa anaweza kupoteza kiti by 2025. Nafikiri anavuta muda mpaka aingize awamu ya pili.
Siamini kabisa kuwa Raisi Samia yuko nyuma ya hilo ila ni hao Mapolisi ambao bado wanafikiria Mwendazake bado yu hai atawapandisha vyeo
 
Hivi kwa nini isiwe ni chanzo cha Violence hicho.

Maana i'm tired. Watu wanakamatwaje kizembe na njemba zipo. Hapo ilitakiwa itokee vurugu then maandamano. Shinyanga wanaunga, then Tabora, Singida, Makao makuu, Morogoro na kisha Dar pia Tunakiwasha panakuwa hapakaliki. Na mikoa mingine inaunga juhudi. Tutavumilia hata lini huu udhalimu.

Tangazeni Dar Tuanzie wapi.!!!! [emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]
Anzia unapoona panafaa,watu waache kusaka pesa waje kuandamana kwa ajili ya upumbavu?
 
Police wanaogopa kivuli chao....mijadala ya ndani sio kosa ...mama anaupiga mwingi nchi inaelekea kumshinda
 
Bila shurti
Wewe ni mwana CCM siyo bure.

Kama ungekuwa ulisoma hizi course administration & political science, sheria ungegundua kwamba mwananchi hana jukumu wala wajibu wa wa kutii sheria kandamizi mbali na kuzipinga kwa hali na mali.

Ila kwa sababu ya uoga na ujinga wetu tunashindwa kujitetea hata pale tunaponewa.

Kadhalika, pale ambapo kiongozi hutenda mambo yaliyo kinyume na matakwa ya wananchi suluhisho lake ni kuondolewa madarakani tu na si vinginevyo.
 
Nakwambia hivi.

1. Mtu anaangalia kama mkutano wake unahitaji ulinzi wa polisi au hauhitaji.

2. Kama hauhitaji ulinzi wa polisi, hususan kama hautumii public grounds, anaendelea na mkutano. Hahitaji kutoa taarifa polisi. Hii ni haki yake ya kikatiba.

3. Kama anahitaji ulinzi wa polisi, anahitaji kutoa taarifa polisi.

Sasa mtu akiishia namba mbili hapo juu, polisi wanaingiaje hapo?
My words

Penetration tayari

We continue with hii vibe, hatufiki 2030 tutakua unstable state

The chaos mongers wengi are just in the wagon with no idea

Law And order Haina mjadala
 
Hao na umri wao wakipelekwa rumande watatoka na korona
 
Back
Top Bottom