Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi

Tuishi kwa Sheri au kwa matamko?
 
Mimi sitetei shetani yoyote. Ndio maana hata siku moja siwezi kutetea mtu anaeonea watu tu kiubinadamu, kwakuwa mimi ni muumini wa UTU.

Ila nyinyi WANASIASA mnachokifanya ni kuoneshana UMWAMBA.

Kwahiyo hapo sina NENO.
Wasio na bunduki wanaonyeshanaje umwamba na wenye mitutu ?
 
Actually makongamano na mikutano ni haki ya kikatiba, bila kibali.

Kuna utaratibu wa kutoa taarifa polisi kama unahitaji ulinzi wa polisi.

Ukianza kuweka habari za vibali unaanza kuiminya haki ya kikatiba.

Nilikua namaanisha hiyo taarifa ya police walitoa? Na police waliwajibu?
 
Sumbawanga ni jimbo la muenezi shaka????
 
Sawa keyboard worries
 
hao viongozi wa kitaifa ulishaona mbowe anaenda kuandamana? anawachochea nyie msio naakili halafu yeye anaenda dubai anasikilizia mnaandamana au mmegoma na nyinyi kama kipindi cha uchaguzi kilipoisha
Mbowe yuko Tayari. Nitamuunga mkono.
Na kipindi hicho nilikuwa mjinga kama wewe, sasa nimeelimika. Karibu tudai haki yetu. [emoji58]
 
Vyama vya siasa havikusajiliwa kufanya siasa kimafungu.nivyama vinatambulika kitaifa na wananchi wapo popote nchini.
Tanzania haina tabia ya uchochezi,ila tukienda kwa mfumo huu ni bora kuishi kama hatuna katiba
 
Nilikua namaanisha hiyo taarifa ya police walitoa? Na police waliwajibu?
Taarifa ya polisi ni kwa minajili ya kupewa ulinzi wa polisi.

Kama huna haja ya ulinzi wa polisi, hususan kama hutumii public grounds, hata taarifa ya polisi si lazima.

Ila, kibongobongo hiyo taarifa ya polisi ndiyo imefanywa kama kuomba kibali cha polisi. Kitu ambacho kisheria hakipo na kinaondoa haki ya kikatiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…