Mwanza City: The Photo Gallery

Ilemela DC yuko vizuri sana, ila NYAMAGANA ni bure kabisa.!
Ila Nyamagana nao wameamua kufanya kweli kwasasa, kuna barabara nyingi sana za ndani ndani wameweka lami nyepesi, kama bulale, mkolani, maeneo ya mahina ya bismark, mwananchi, mhandu na mengi tu ni kama yamewekwa mkeka na barabara nyingine wanaweka za mawe, pia mwezi wa saba watatandaza lami ya 12km kutoka buhongwa, kishiri adi Igoma kwa lami ngumu lakini kishiri adi fumagila wataweka lami nyepesi, Naona Mabula wa kiume kwasasa anaupiga mwingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…