Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,608
Hii hoteli kumbe nzuri, kaka ubarikiwe sana, yaani ww ukiwa mza ni mwendo wa picha.View attachment 2424551
View attachment 2424552View attachment 2424553
Hii project pembeni ya hii hotel inayojengwa sjui ni ya nan , naona imeanza na frem Kwa chini
Hii picha mkuu umempiga na shemeji akoππππ nashukuru alikuwa mwenyewe aki ya mungu kama ungempiga akiwa na jamaa sijui tu na hii picha nitaichukua nimwonesheπππππππππππππView attachment 2424551
View attachment 2424552View attachment 2424553
Hii project pembeni ya hii hotel inayojengwa sjui ni ya nan , naona imeanza na frem Kwa chini
Nilichukua namba yake πHii picha mkuu umempiga na shemeji akoππππ nashukuru alikuwa mwenyewe aki ya mungu kama ungempiga akiwa na jamaa sijui tu na hii picha nitaichukua nimwonesheπππππππππππππ
Mkuu AKI YA MUNGU NI SHEMEJI yako SI UTANI JAMAA YANGU NAKUAPIA.Nilichukua namba yake π
Sawa mkuuMkuu AKI YA MUNGU NI SHEMEJI yako SI UTANI JAMAA YANGU NAKUAPIA.
Ila huyo shemeji yako namuamni mkuu, sema ndio hivyo wanawake hawaaminiki.Sawa mkuu
Fanya umuoe umzalishe mara mbili chap chap ndo atatulia , la sivyo utapigwa na kitu kizito Sana kichwani .... Kuna wahuni pembeni pale wanauza vifaa vya umeme na mziki walimuita wakabonga mawili matatu πππ nikaona anatabasamu tuuIla huyo shemeji yako namuamni mkuu, sema ndio hivyo wanawake hawaaminiki.
Jembe ana mtoto mmoja huyo nimeshamzalisha ila........Fanya umuoe umzalishe mara mbili chap chap ndo atatulia , la sivyo utapigwa na kitu kizito Sana kichwani .... Kuna wahuni pembeni pale wanauza vifaa vya umeme na mziki walimuita wakabonga mawili matatu πππ nikaona anatabasamu tuu
Hapo Sawa πJembe ana mtoto mmoja huyo nimeshamzalisha ila........
Costa zibaki mjini..hice ziende pembezoni mwamji.Serikali hata isijisumbue kuweka pesa nyingi kwenye ujenzi wa airport za mikoa ambayo haipokei wasafiri wengi Kwa mwaka na badala yake airport za mikoa mikubwa kwanza....mwanza airport inaitaji modernization ya Hali ya juu sana. Ipanuliwe, jengo la abilia, runway ziongezwe hata control tower inatakiwa iwekwe mpya ya kisasa. Airport za vijijini hazitaridisha pesa mapema kulinganisha na za miji mikubwa.
Ila pia muda umefika hivi vidaladala vidogo vitolewe katikati ya mji viplekwe misasi huko au magu...mjini zibaki Costa tu.
Kumbe ata mabati chakavu yanatoa majengo bora kabisaa.View attachment 2424551
View attachment 2424552View attachment 2424553
Hii project pembeni ya hii hotel inayojengwa sjui ni ya nan , naona imeanza na frem Kwa chini
Upo sahihiCosta zibaki mjini..hice ziende pembezoni mwamji.
Naunga mkono hoja.
#MaendeleoHayanaChama
Wahenga walisema usihukumu maudhui ya kitabu kwa kuangalia CoverKumbe ata mabati chakavu yanatoa majengo bora kabisaa.
Kumbe ata yale mabati ya pale natta kumbe unaweza kuta ni jengo la ghorofa 20 π π π π πWahenga walisema usihukumu maudhui ya kitabu kwa kuangalia Cover
Inawezekana kabisa, maana kuzungusha mabati ni kwa ajili ya usalama na kuzuia mwingiliano wa watu site.Kumbe ata yale mabati ya pale natta kumbe unaweza kuta ni jengo la ghorofa 20 π π π π π
Mimi nafikiri pamba road ipigwe njia nneMtaa wa karuta unabadilika kila siku pamoja na lumumba. Pia pamba mambo ni moto sana.
Na alikuambia yuko single? π€£ π€£ π€£Nilichukua namba yake π
Njia nne zitatosha kweli? Naona kama hakutoshiMimi nafikiri pamba road ipigwe njia nne
Mbona una wasiwasi sana, na umesema unamwamini tulia ndugu.Na alikuambia yuko single? π€£ π€£ π€£