Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Hii picha mkuu umempiga na shemeji ako😂😂😂😂 nashukuru alikuwa mwenyewe aki ya mungu kama ungempiga akiwa na jamaa sijui tu na hii picha nitaichukua nimwoneshe🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nilichukua namba yake 😁
 
Ila huyo shemeji yako namuamni mkuu, sema ndio hivyo wanawake hawaaminiki.
Fanya umuoe umzalishe mara mbili chap chap ndo atatulia , la sivyo utapigwa na kitu kizito Sana kichwani .... Kuna wahuni pembeni pale wanauza vifaa vya umeme na mziki walimuita wakabonga mawili matatu 😁😁😁 nikaona anatabasamu tuu
 
Jembe ana mtoto mmoja huyo nimeshamzalisha ila........
 
Serikali hata isijisumbue kuweka pesa nyingi kwenye ujenzi wa airport za mikoa ambayo haipokei wasafiri wengi Kwa mwaka na badala yake airport za mikoa mikubwa kwanza....mwanza airport inaitaji modernization ya Hali ya juu sana. Ipanuliwe, jengo la abilia, runway ziongezwe hata control tower inatakiwa iwekwe mpya ya kisasa. Airport za vijijini hazitaridisha pesa mapema kulinganisha na za miji mikubwa.
Ila pia muda umefika hivi vidaladala vidogo vitolewe katikati ya mji viplekwe misasi huko au magu...mjini zibaki Costa tu.
Costa zibaki mjini..hice ziende pembezoni mwamji.
Naunga mkono hoja.
#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom