Hicho chanzo cha maji kilijengwa 1972 kutosheleza idadi ya watu kwa wakati huo, je miaka mingapi imepita na je viongozi wangapi wamepita bila kuona hilo, tena inabidi tushukuru watu wa zamani walikuwa na future na maono kuliko viongozi mbumbu wa sasa.Tatizo la maji mwanza limesababishwa na viongozi waliojenga chanzo cha capripoint...waliojenga mtambo mdogo usioweza kutosheleza mahitaji ya mji Kwa miaka kadhaa ijayo ...na ndio tunayaona madhara yake hapa Leo
Ilemela wametangaza ununuzi wa viwanja awamu ya pili Katika mji wa kisasa wa sangabuye fomu ni sh elfu 20 zinapatikana halmashauri na rock city mall unatanguliza advance nusu
Dawa ni serikali ya majimbo tu. Haiwezekani mwanza tunakilakitu halafu hamna maendeleo stahiki kwa muda stahiki. Siasa tu. Yani sijui wanatuchukuliaje watu mwanza....Hicho chanzo cha maji kilijengwa 1972 kutosheleza idadi ya watu kwa wakati huo, je miaka mingapi imepita na je viongozi wangapi wamepita bila kuona hilo, tena inabidi tushukuru watu wa zamani walikuwa na future na maono kuliko viongozi mbumbu wa sasa.
Sangabuye Iko Kayenze kama unapasikiaSangabuye iko wapi au jirani na eneo gani maarufu
Sangabuye Iko Kayenze kama unapasikia
Kaka kubali tu, Mwanza imetengwa kwa muda mrefu sana imekuja kukumbukwa kipindi cha Magufuli.Uliyoyataja yote mzee Busan . serikali haiwezi kuyafanya Kwa muda unaouhitaji ..mfano unataka flyover Usagara ambayo si chini ya bilioni 100 ..at the same time mwanza ni jiji lenye uhaba mkubwa wa maji .....
Nirudie kusema hili mwanza ni mji ambao una pewa fedha nyingi kuliko majiji mengine ukiacha dar Kwa sababu ya miradi yake ya kimkakati....daraja tu la busisi pesa Yake ingejenga hyo fly over ,ikajenga dual carriage hata 3 za km 20 na mambo mengine kede kede ...
Mimi siungi mkono hoja ya kwamba mwanza ni jiji linaloonewa
Kama feasibility study imefanya na Tanroad sasa mkuu wa mkoa anahusika nini?Barabara ya kenyata.feasability ishakamilika ,,,kilichobaki ni kuingizwa kwenye bajeti mwaka huu ...na hapo lazima wafate taratibu zote za manunuzi (procurement procedures) ....hapa ni mkuu wa mkoa pamoja tanroads mkoa wanaweza kupush hili suala kwa haraka
Watu wengi wnaofikiri Mwanza iko sawa hawako Mwanza, au Kama wako Mwanza Basi hawajatembea mikoa mingine Kama Dar!!!Kaka kubali tu, Mwanza imetengwa kwa muda mrefu sana imekuja kukumbukwa kipindi cha Magufuli.
Sasa mji mkubwa kama wa mwanza mahitaji yake ni makubwa vilevile.
Sidhani kama mwanza inaizidi Dodoma kwenye kupata pesa nyingi za miradi.
Na hasa tukisema jiji kwa maana ya Nyamagana na Ilemela hamna kitu ndugu yangu tusijifariji.
Daraja la kigongo busisi haliko kwenye jiji, liko Misungwi na Sengerema.
Meli ile ni mradi wa kanda ya ziwa sio mwanza tu.
Mradi pekee utakaogusa na kuleta mandhari jijini ni sgr.
Miradi iliobaki ni ya kawaida tu inafanyika nchi nzima.
Chukua miradi ya jiji la Dodoma linganisha na jiji la mwanza, hata nusu sidhani kama tunawafikia.
Dar kila siku inapata pesa za miradi halafu sisi tukae kimya?
Kisa kuna jpm Bridge ambayo hata haiko kwenye jiji la Mwanza.
Au kaka unataka tusubiri daraja na sgr viishe ndio tuombe miradi mingine? Mbona kwingine miradi inabebanishwa tena mikubwa?
Ukweli uko pale pale haliko kwenye jiji la Mwanza, unaweza undwa mkoa mpya likawa haliko kabisa hata kwenye mkoa wa mwanza.Daraja la busisi linalink mwanza na mikoa ya geita..Kwa hyo ni sehemu muhimu Kwa maendeleo ya Jiji
Hii barabara huwa tunaridhika nayo tu kwa sababu ni njia nne ila haiko kwenye viwangoTumeanza na hii .[emoji116]..... geography ya mwanza sometimes inaleta changamoto kujenga barabara kubwa ,,,,Kwa hyo inahitaji fedha nyingi kujenga dual carriage View attachment 2426722View attachment 2426723
Tumeanza na hii .[emoji116]..... geography ya mwanza sometimes inaleta changamoto kujenga barabara kubwa ,,,,Kwa hyo inahitaji fedha nyingi kujenga dual carriage View attachment 2426722View attachment 2426723
Mkoa upi utaumia?Mikoa mingine ingeumia ,,,,,,,
Capripoint imejengwa enzi za zamani wakati huo mza ni mji mdogo, na walijenga kulingana na mahitaji ya wakati huo.Tatizo la maji mwanza limesababishwa na viongozi waliojenga chanzo cha capripoint...waliojenga mtambo mdogo usioweza kutosheleza mahitaji ya mji Kwa miaka kadhaa ijayo ...na ndio tunayaona madhara yake hapa Leo
Tuache kujificha kwenye mradi wa JPMUliyoyataja yote mzee Busan . serikali haiwezi kuyafanya Kwa muda unaouhitaji ..mfano unataka flyover Usagara ambayo si chini ya bilioni 100 ..at the same time mwanza ni jiji lenye uhaba mkubwa wa maji .....
Nirudie kusema hili mwanza ni mji ambao una pewa fedha nyingi kuliko majiji mengine ukiacha dar Kwa sababu ya miradi yake ya kimkakati....daraja tu la busisi pesa Yake ingejenga hyo fly over ,ikajenga dual carriage hata 3 za km 20 na mambo mengine kede kede ...
Mimi siungi mkono hoja ya kwamba mwanza ni jiji linaloonewa
Haipelekwi Bungeni kabsaa ikitokea bhas ni barabara za mitaaaHivi miundombinu ya Dar huwa haipangiwi bajeti wala haipitishwi bungeni kujadiliwa?