Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Tatizo la maji mwanza limesababishwa na viongozi waliojenga chanzo cha capripoint...waliojenga mtambo mdogo usioweza kutosheleza mahitaji ya mji Kwa miaka kadhaa ijayo ...na ndio tunayaona madhara yake hapa Leo
Hicho chanzo cha maji kilijengwa 1972 kutosheleza idadi ya watu kwa wakati huo, je miaka mingapi imepita na je viongozi wangapi wamepita bila kuona hilo, tena inabidi tushukuru watu wa zamani walikuwa na future na maono kuliko viongozi mbumbu wa sasa.
 
Kwa jinsi mabehewa ya treni ya sgr yalivyochakachuliwa tujiandaen kisaikolojia hata ile design ya terminal ya mwanza ya sgr itachachakachuliwa
 
Hicho chanzo cha maji kilijengwa 1972 kutosheleza idadi ya watu kwa wakati huo, je miaka mingapi imepita na je viongozi wangapi wamepita bila kuona hilo, tena inabidi tushukuru watu wa zamani walikuwa na future na maono kuliko viongozi mbumbu wa sasa.
Dawa ni serikali ya majimbo tu. Haiwezekani mwanza tunakilakitu halafu hamna maendeleo stahiki kwa muda stahiki. Siasa tu. Yani sijui wanatuchukuliaje watu mwanza....
 
Uliyoyataja yote mzee Busan . serikali haiwezi kuyafanya Kwa muda unaouhitaji ..mfano unataka flyover Usagara ambayo si chini ya bilioni 100 ..at the same time mwanza ni jiji lenye uhaba mkubwa wa maji .....
Nirudie kusema hili mwanza ni mji ambao una pewa fedha nyingi kuliko majiji mengine ukiacha dar Kwa sababu ya miradi yake ya kimkakati....daraja tu la busisi pesa Yake ingejenga hyo fly over ,ikajenga dual carriage hata 3 za km 20 na mambo mengine kede kede ...
Mimi siungi mkono hoja ya kwamba mwanza ni jiji linaloonewa
Kaka kubali tu, Mwanza imetengwa kwa muda mrefu sana imekuja kukumbukwa kipindi cha Magufuli.
Sasa mji mkubwa kama wa mwanza mahitaji yake ni makubwa vilevile.

Sidhani kama mwanza inaizidi Dodoma kwenye kupata pesa nyingi za miradi.
Na hasa tukisema jiji kwa maana ya Nyamagana na Ilemela hamna kitu ndugu yangu tusijifariji.

Daraja la kigongo busisi haliko kwenye jiji, liko Misungwi na Sengerema.

Meli ile ni mradi wa kanda ya ziwa sio mwanza tu.
Mradi pekee utakaogusa na kuleta mandhari jijini ni sgr.

Miradi iliobaki ni ya kawaida tu inafanyika nchi nzima.

Chukua miradi ya jiji la Dodoma linganisha na jiji la mwanza, hata nusu sidhani kama tunawafikia.
Dar kila siku inapata pesa za miradi halafu sisi tukae kimya?
Kisa kuna jpm Bridge ambayo hata haiko kwenye jiji la Mwanza.

Au kaka unataka tusubiri daraja na sgr viishe ndio tuombe miradi mingine? Mbona kwingine miradi inabebanishwa tena mikubwa?
 
Barabara ya kenyata.feasability ishakamilika ,,,kilichobaki ni kuingizwa kwenye bajeti mwaka huu ...na hapo lazima wafate taratibu zote za manunuzi (procurement procedures) ....hapa ni mkuu wa mkoa pamoja tanroads mkoa wanaweza kupush hili suala kwa haraka
Kama feasibility study imefanya na Tanroad sasa mkuu wa mkoa anahusika nini?
 
Kaka kubali tu, Mwanza imetengwa kwa muda mrefu sana imekuja kukumbukwa kipindi cha Magufuli.
Sasa mji mkubwa kama wa mwanza mahitaji yake ni makubwa vilevile.

Sidhani kama mwanza inaizidi Dodoma kwenye kupata pesa nyingi za miradi.
Na hasa tukisema jiji kwa maana ya Nyamagana na Ilemela hamna kitu ndugu yangu tusijifariji.

Daraja la kigongo busisi haliko kwenye jiji, liko Misungwi na Sengerema.

Meli ile ni mradi wa kanda ya ziwa sio mwanza tu.
Mradi pekee utakaogusa na kuleta mandhari jijini ni sgr.

Miradi iliobaki ni ya kawaida tu inafanyika nchi nzima.

Chukua miradi ya jiji la Dodoma linganisha na jiji la mwanza, hata nusu sidhani kama tunawafikia.
Dar kila siku inapata pesa za miradi halafu sisi tukae kimya?
Kisa kuna jpm Bridge ambayo hata haiko kwenye jiji la Mwanza.

Au kaka unataka tusubiri daraja na sgr viishe ndio tuombe miradi mingine? Mbona kwingine miradi inabebanishwa tena mikubwa?
Watu wengi wnaofikiri Mwanza iko sawa hawako Mwanza, au Kama wako Mwanza Basi hawajatembea mikoa mingine Kama Dar!!!

In short, Mwanza ni Jiji lililotengwa mnoooo. Asilimia kubwa ya kila unachokiona Mwanza ni nguvu ya watu wenyewe.

Hivi kweli hata barabara za mitaa, serikali imeshindwa kabisa yaani????
 
Daraja la busisi linalink mwanza na mikoa ya geita..Kwa hyo ni sehemu muhimu Kwa maendeleo ya Jiji
Ukweli uko pale pale haliko kwenye jiji la Mwanza, unaweza undwa mkoa mpya likawa haliko kabisa hata kwenye mkoa wa mwanza.
SGR kuja mwanza si kwa ajili ya mza tu bali kanda ya ziwa kwa ujumla, je mtu wa kagera asidai miradi kwa sababu kuna sgr na meli ambavyo vitamfaidisha?
 
Tumeanza na hii .[emoji116]..... geography ya mwanza sometimes inaleta changamoto kujenga barabara kubwa ,,,,Kwa hyo inahitaji fedha nyingi kujenga dual carriage View attachment 2426722View attachment 2426723

Barabara gani mwanza haiwezi jengwa sababu ya jiografia?
Barabara kubwa 3 zote zimepita tambarare.
Halafu viongozi na wabunge wetu nao hawajui kujitetea.
Mfano, dodoma inajengwa ring road njia nne porini, sisi tunashindwa kutetea njia nne buhongwa Igoma tena ni 14km?
Hii barabara haiishi miaka 10 wataanza kusema imezidiwa
 
Tatizo la maji mwanza limesababishwa na viongozi waliojenga chanzo cha capripoint...waliojenga mtambo mdogo usioweza kutosheleza mahitaji ya mji Kwa miaka kadhaa ijayo ...na ndio tunayaona madhara yake hapa Leo
Capripoint imejengwa enzi za zamani wakati huo mza ni mji mdogo, na walijenga kulingana na mahitaji ya wakati huo.
Yaani ni sawa na useme tatizo la treni ya reli ya kati ni kwa sababu waliojenga hawakujenga sgr

Hata uwanja wa ndege hujengwa kulingana na abiria, Leo hii tulaumu waliojenga airport mza kwamba hawakujenga jengo zuri kubwa, wakati enzi hizo lilikuwa Poa tu
 
Uliyoyataja yote mzee Busan . serikali haiwezi kuyafanya Kwa muda unaouhitaji ..mfano unataka flyover Usagara ambayo si chini ya bilioni 100 ..at the same time mwanza ni jiji lenye uhaba mkubwa wa maji .....
Nirudie kusema hili mwanza ni mji ambao una pewa fedha nyingi kuliko majiji mengine ukiacha dar Kwa sababu ya miradi yake ya kimkakati....daraja tu la busisi pesa Yake ingejenga hyo fly over ,ikajenga dual carriage hata 3 za km 20 na mambo mengine kede kede ...
Mimi siungi mkono hoja ya kwamba mwanza ni jiji linaloonewa
Tuache kujificha kwenye mradi wa JPM
 
Kiukweli barabara ya kenyata na nyerere zinatakiwa zipanuliwe pia barabara ya airport had nyanguge au kisesa ijengwe hv vibarabara vya buhongwa to igoma na mkuyuni to nyakato zilitakiwa ziwe zimejengwa hata kabla ya magu hajawa Raisi
 
Back
Top Bottom