Mwanza City: The Photo Gallery

Kabisa bugando wanapesa sijui uzembe unaanzia wapi, kwanini wasianze kujenga, then watajua huko mbeleni
 
Sasa Tupambane bajeti ya 2023/24 barabara ya Kenyatta na airport -Igombe-Nyanguge zijengwe
 

Attachments

  • Screenshot_20230125-003429_YouTube.jpg
    97.3 KB · Views: 11
BMC wajipange tuu competition ya hospital kubwa kanda ya ziwa imekuwa kubwa Sana sa hv ,
 
Dah jamani kumbe tuipende tu mwanza yetu ni the best place, nipo dar kwa mishe flani toka November yani hapa natamani hii mishe iishe nirudi mwanza hata kesho asee

Dar ni jiji la kibiashara sikatai ila duh limenishindaa hali ya hewa ni taabu, harufu kila sehemu sio ushuani wala uswahilini, foleni za ajabu ajabu,msongamano, wanawake wana vitambii duh[emoji23], sehemu za starehe hazipishani sana na za mwanza, vyakula wanaweka ma viungo mengii mpaka yanapoteza ladha, japo ni kweli mzunguko wa pesa ni mkubwa na inaonekana ila kwenye matumizi ndo utachoka kabisa

East or West Mwanza is the best, tuendelee kuijenga mwanza yetu
 
Nitafia Mwanza na kuzikwa Mwanza.
 
[emoji28][emoji28][emoji28]...wali Nazi ,chai iriki Kanda ya ziwa havipandi[emoji12][emoji12][emoji12]
 
Ngoja wakusikie wenyewe,
 
Soon Mwanza itakua na Television 3 Star TV, Mahaasin tv, na Inland Tv ambayo Soon itatambulishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…