Mwanza City: The Photo Gallery

Kinachozuia nyegezi isifunguliwe ni nini!? Zile njia za kuingia na kutoka zimefikia wapi!?

Home ni Buhongwa huwa natabia ya kushukia buhongwa wakamilishe siku nikija nije hadi Nyegezi wakuu afu nageuka tena Buhongwa!!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachozuia nyegezi isifunguliwe ni nini!? Zile njia za kuingia na kutoka zimefikia wapi!?

Home ni Buhongwa huwa natabia ya kushukia buhongwa wakamilishe siku nikija nije hadi Nyegezi wakuu afu nageuka tena Buhongwa!!
Zile njia nasikia wapo asilimia 95 ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njia ni kama zimeisha week 2 zilizopita nilipita pale nikaona wamefunga mataa barabara za kuingia na kutoka
 
Wafungue ipendeze yaan mwanza tukiwekewa njia nne Ile Kenyatta road na taa Sasa naona wanazidisha traffic light
Hii ndio naitaka na wakaweka Taa na zile Taa za Traffic aseeh patakuwa mwake sana

Oi Mwanza maeneo gani napata kiwanja wakuu kwa bei reasonable kidogo
 
Hii ndio naitaka na wakaweka Taa na zile Taa za Traffic aseeh patakuwa mwake sana

Oi Mwanza maeneo gani napata kiwanja wakuu kwa bei reasonable kidogo
Kwa wilaya ya Ilemela,
Vuka Busweru sogea sogea hadi Kahama, Isela na Ilalila. Barabara ni ya lami umeme upo karibu na kuna miradi ya maji inaendelea huko bei zinaanzia mil2.5 na kuendelea

Kwa wilaya ya Nyamagana,
Vuka Kishiri sogea sogea Kanindo, Fumagila na Sahwa. Barabara inajengwa ya lami na kuna miradi ya maji pia bei kuanzia mil2 na kuendelea

Kwa wilaya ya Magu,
Vuka Kisesa sogea sogea hadi Isangijo, Kitumba pia barabara ya kutoka Kisesa kuelekea Kayenze huko bado kuna maeneo makubwa sana yako wazi na watu wananunua sana bei bado ziko chini kwa sasa kuanzia laki 8 unapata kieneo chako,

NB,, Mimi sio dalali wala sihusiki kuuza viwanja nimechangia kile ninachofahamu,,
 
Shukrani sana mkuu
 
Hii ndio naitaka na wakaweka Taa na zile Taa za Traffic aseeh patakuwa mwake sana

Oi Mwanza maeneo gani napata kiwanja wakuu kwa bei reasonable kidogo
Kisesa vipo ukiwa na laki sita TU unapewa kiwanja ingia group la kisesa Facebook
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…