Mwanza City: The Photo Gallery

Nishawahi wasiliana na jamaa mmoja kwenye hayo magroup,,, alikuwa anauza kiwanja laki Tano lakini baada ya siku moja akapandisha laki nane na laki 9...ukubwa 20*20 ...nilianza kuwaona waswahili

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi waswahili TU naona wanaweka hyo Bei kuvutia watu kumbe Bei Yao ni tofaut,mm nilijua ndo Bei Yao hyo 600000
 
Mkuu naweza kupata mawasiliano ya mtu atakayenusaidia kupata eneo mitaa ya Kisesa to Kayenze
 
wakuu nimeona Leo Barabara ya Kenyatta from town nazan mpaka nyashishi wanaweka taa,

Lakin najiuliza mbona like jengo la NSSF Pale capripoint limesimama finishing muda kulikoni,pia jengo la kitana pale mwaloni kirumba nalo miaka inasonga hafany finishing,
Karibu anayejua Kwa ufafanuzi
 
Pia Leo nimepita mitaa ya mkuyuni nmeona KAZI ya ujenzi wa flyover ya (SGR) reli ya kisasa unaendelea na watu wamehamishwa sana
 
Taa zinaishia mkolani ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…