Mwanza: Daraja la Magufuli limekamilika. Je, Makamanda wa CHADEMA watalitumia?

Uko sahihi.
Ni ujinga kudhania ujenzi wa miundombinu ni hisani Toka Serikalini , watu wajue ni wajibu wa pesa zetu za kodi kurudi Tena kwetu wenyewe kwa njia mbalimbali, ya huduma za Jamii ikiwepo miundombinu.

Ni ujinga kudhani Viongozi wanafanya hayo kwa utashi wao binafsi.

Tanzania Bado watu wako gizani kuhusu elimu ya uraia, haki za raia, wajibu wa Serikali, na how country is governed!!

Shame on you 🤔🤔💋
 
Watu wanapenda kusikiliza miziki ya Zuchu na Mondi muda wote elimu ya Tanzania wataijulia wapi?
 
Hoja ni kuwa mlisema hizi ni Megastructure zisizo na faida.
 
Umeandika ujinga, basi iambie serikali Yako hiyo gharama za mkopo watumie Kodi za ccm tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…