Mwanza: Daraja la Magufuli limekamilika. Je, Makamanda wa CHADEMA watalitumia?

Limejengwa kwa mshahara wa Magufuli? Kama limejengwa kwa kodi ya nchi ni haki ya mtu yoyote kulitumia bila kujali ni wa chama gani, awe raia au asiwe raia. Una jingine tukusaidie? Huko nyumbani kwa Magufuli ndio mnaweza kuwazuia wapinzani maana ni kwake, na sio kwenye mali za umma.
 
Huu ujinga mnaolishana na kuumani hadi unawafanya muonekane mabwege. Magufuli alipingwa kwa udictator uchwara wake, lakini ili apate kwa kujifichia, kitengo chake cha propaganda kikawa kinapotosha kuwa miradi yake inapingwa na wapinzani lengo ikiwa ni kufinika uovu wake. Na kwakuwa nyie ni bendera fuata upepo, kila propaganda mnayolishwa mnaimeza kama mazuzu.
 
Sio kweli Chadema walipinga waziwazi kuwa Magufuli mkabila anapeleka hilo daraja kwao waziwazi wala sio siri

Wakati alilipeleka likiwa hitaji kubwa kwa watu wa kanda ya ziwa na nchi jirani
Haikuwa propaganda
 
Sio kweli Chadema walipinga waziwazi kuwa Magufuli mkabila anapeleka hilo daraja kwao waziwazi wala sio siri

Wakati alilipeleka likiwa hitaji kubwa kwa watu wa kanda ya ziwa na nchi jirani
Haikuwa propaganda
Una ushahidi wa kikao chochote cha cdm wakipinga ujenzi wa hilo daraja? Nijuavyo chama ni vikao, weka ushahidi wa vikao hivyo kama ww sio bendera fuata upepo. Suala la kuwa Magufuli alikuwa na upendeleo wa wazi kwa kanda ya ziwa, hilo halina mjadala. Na saratani ile ya Magufuli imemea, kwasasa kizimkazi nayo inapendelewa kwa uwazi mno.
 
kama hilo daraja sio la umma ni la aliyeanzisha huo mradi basi mkamzike nalo. au kama ni mali ya kijani muweke bango kuwa daraja hili ni mali ya ccm na si vyama vingine kama mlivyotaifisha mali zingine na viwanja vya umma.
 
Daraja la Magufuli limekamilika mwambieni Tundu Lisu,Lema na Mbowe wameze Wembe

Wapuuzi wakubwa
 
Wewe ulikuwa kindakindaki kusema ni megastructure za kishamba.
 
Makaburu weupe wa Afrika ya Kusini walijenga miundo mbinu ya barabara za kisasa za kila aina na kuwa nchi yenye maendeleo ya vitu kupita nchi zote Afrika na hata kupita nchi za ulaya na asia, lakini raia hawakukubali kuonewa, kunyanyaswa, kupuuzwa, kubaguliwa na wakaamka kupambana na utawala wa kibaguzi ili Maendeleo ya Watu, Haki na Demokrasia viwe mikononi mwa watu badala ya kikundi cha watawala dhalimu wachache.
 
Wewe ulikuwa kindakindaki kusema ni megastructure za kishamba.
Ni kweli, na mimi nilisema kabisa, badala ya kujenga daraja la 700b, nilishauri ingetumika 200b, kununua vivuko vinne vya 50b@, na 500b, ijenge viwanda huko huko kanda ya ziwa ili watu wengi wapate ajira. Hivyo hata sasa nasimamamia ninachokiamini, wala usidhani kama naona ujenzi wa hilo daraja ni kitu cha maana sana.

Ukitaka fungua uzi wa ujenzi wa hilo daraja, utaona nilichosema, hilo neno ushamba sikulitumia kwenye huo ujenzi, na hii sio kwamba Magufuli hakuwa mshamba. Sina popote niliposifia ujenzi huo na hata sasa sisifii, japo unadhani nalionea wivu.
 
Gharama za uendeshaji?
 
Mtu kuwasikiliza Chadema lazima uwe mwendawazimu
CDM ni chama kinachoamimi katika kupayuka na kuaminisha uongo uwe ukweli. Mwaka 2015 vijana wasomi wengi walikiama hiki chama cha CDM baada ya kutumia uongo kuaminisha umma kuwa Lowassa ni fisadi. Baada ya, muda akawa mgombea urais wa cdm.
Mwaka huu Lissu anataka kuaminisha umma, kuwa RC Makonda alishiriki kutaka kumuua mwaka 2017 .Yaan ni watu waongo na tuwaepuke. Tuwe makini na watu wapayukaji na waongo kama hawa.
 
Daraja tutatumia, SGR tunapanda, ndege tunaruka nazo kama hamtaki hameni nchi wapumbavu kabisa nyie misukule ya dhalim Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…