Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

Mi mwenyewe ndo nimeona kilichomtia nguvuni asee nilikua sijaona hiyo post yake!Lakini usije kushangaa uko mbele ya kamera na kamishna wa polisi unauzishwa sura!
Si unaona hlf wanaweza kutokea watu na kuanza kumtetea kwamba ameonewa
 
Sifikiri kama ualimu unamfaa ni basi tu.. Bora hata Polepole angemuwahi yeye kuitangaza sisiemu eeeeh.. napenda ambavyo haingizi ya yeye na wanafunzi wake kwenye maandishi yake.. anaheshimu kazi yake sana.. na anajua mipaka.
Kwa kazi za umma lama mwalimu ...ualimu sio pale darasani tuu. Hata ktk jamii unayoishi ni lazma ubehave.
Wanf wake wanamchukuliaje?
Ww ni staff mwenzake au ni mwanafunzi wake utupe uhalisia akiwa kazini?
 
Wampeleke naye milembe kwanza kumpima akili yake kwanza!

Ova
 
Jamaa yuko location anaandaa single yake
Polisi wamburuze tu mahakamani wasijisumbue kumpeleka kumpima yeye ndiye akaseme mahakamani na kutoa ushahidi na yule Nabii Tito wamfanyie hivyo hivyo wamburuze mahakamani yeye ndie akathibitishie mahakama Kama ni mwehu au la.Kesi za watu wa aina hii polisi wasijipe presha
 
Kwa kazi za umma lama mwalimu ...ualimu sio pale darasani tuu. Hata ktk jamii unayoishi ni lazma ubehave.
Wanf wake wanamchukuliaje?
Ww ni staff mwenzake au ni mwanafunzi wake utupe uhalisia akiwa kazini?

Duh mimi nani!!!
Eeeeeeh nenda shuleni kwake ukamuulizie.
 
Kama kuna mtu nimtaaramu wa mambo ya IT umu Jf aende ...adukue account ya Facebook ya Deo kisandu ..alafu aifute ...maana Jamaa kaongea ..matusi kwana kukwichi kwichi kalibia post 10 amepost mabaraha tupu huko...msaidien ndugu yenu..yaani Fb wanabid wawekwe mamod ...ili mtu awe anapewa Ban angalau.

Pamoja na kwamba Deo kisandu kaachiwa kwa dhamana ila bado anaendelea kupost habar za kwamba anahitaji kupata kutom*** yaan ni hatari tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…